Waziri wa Madini Doto Biteko amesema tangu kuanzishwa kwa soko la madini Ulanga wamenunua madini ya Tsh 396 milioni ndani ya miezi 5 mpaka sasa na kwamba awali kabla ya kuanzishwa kwa soko hilo walikuwa wanauza madini hayo kwa milioni 4 tu kwa miaka 5. “Kwa nini nisiseme naongea kwa …
Soma zaidi »WAZIRI HASUNGA ASISITIZA ULAZIMA WA KUWA NA VIWANDA VYA MBOLEA NCHINI
Serikali imesema kuwa inathamini sana mchango wa Sekta binafsi katika kukuza uchumi kwani ndio chanzo kikubwa cha Pato la Taifa kutokana na mchango wake kupitia kodi, ushuru na tozo mbalimbali. Kilimo ni moja ya Sekta zinazoongoza kwa ushiriki wa sekta binafsi. Wakulima wote ni sekta binafsi. Ukiondoa Wakala wa Taifa …
Soma zaidi »MADIWANI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA KUJIFUNZA NAMNA YA UKUSANYAJI MAPATO KATIKA HALMASHAURI YA KINONDONI.
Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro jana walifanya ziara ya kujifunza namna ya ukusanyaji mapato katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Madiwani hao waliokuwa wameambata na Mkuu wa Wilaya hiyo Mh. Regina Chonjo, Mstahiki Meya Amir Nondo wamepokelewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Aron Kagurumjuli, Mstahiki …
Soma zaidi »KAMPENI YA ELIMU KWA MLIPAKODI YAWAFIKIA WAFANYABIASHARA ZAIDI YA 700 MOROGORO
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewafikia na kuwaelimisha wafanyabiashara zaidi ya 700 kupitia kampeni ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi iliyofanyika mkoani Morogoro. Lengo la kampeni hiyo ilikuwa ni kutoa elimu kuhusu masuala mbalimbali ya kodi pamoja na kusikiliza malalamiko, changamoto na maoni kutoka kwa wafanyabiashara hao. Akizungumza mara baada …
Soma zaidi »WATOTO MILIONI 8 KUPATIWA CHANJO YA SURUA-RUBELLA
Inakadiriwa watoto wapatao 8,028,838 wenye umri wa miezi tisa hadi umri wa chini ya miaka mitano (miezi 59) wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya Surua-Rubella kwenye kampeni shirikishi ya chanjo itakayotolewa nchi nzima. Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoro Ummy Mwalimu wakati akizindua kampeni …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MGALU AWASHA UMEME DUNDUMWA KILOSA
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewasha umeme katika kitongoji cha Dundumwa, Kijiji cha Ludewa Batini, wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Tukio hilo lilifanyika Agosti 27 mwaka huu, akiwa katika ziara ya kazi mkoani humo kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umeme pamoja na kuzungumza na wananchi. Akiwa amefuatana na …
Soma zaidi »RAIS WA AFRIKA KUSINI CYRIL RAMAPHOSA ATEMBELEA MAKABURI YA WAPIGANIA UHURU WA ANC MAZIMBU – MOROGORO
MAKAMU WA RAIS AMEFUNGA MAONESHO YA WAKULIMA 88 MKOANI MOROGORO
MAKAMU WA RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA KUCHAKATA MPUNGA
LIVE: UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO RUFUJI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akitekeleza majukumu ya kiserikali na kuzungumza na Wananchi wa maeneo mbalimbali kabla ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa bwawa la kufua umeme la mto Rufiji
Soma zaidi »