Maktaba Kiungo: MKOA WA NJOMBE

KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA MBOGAMBOGA NA MATUNDA LAFANYIKA MKOANI MBEYA

Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hassunga jana tarehe 17 Juni, 2019 amefungua Kongamano la Kimataifa la Uwekezaji kwenye sekta ya mbogamboga na matunda, jijini Mbeya katika ukumbi wa Hoteli ya Tughimbe, lililoandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa shirikiana na Tanzania Horticulture Association(TAHA). Kongamano hilo la aina yale kufanyika …

Soma zaidi »

WANANCHI WILAYANI LUDEWA WAENDELEA KUANZISHA BARABARA ZA VIJIJINI

Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Mh, Edward Haule mei 06/2019 aliongoza Jopo la Viongozi wa kata mbili za Madope na Lupanga pamoja na Wananchi wa Kata hizo kuchimba Barabara ya kuunganisha Vijiji Jirani katika Kata hizo. Barabara hiyo yenye urefu wa zaidi ya kilometa sita licha …

Soma zaidi »