Maktaba Kiungo: MKOA WA PWANI

TUMEDHAMIRIA KUONGEZA WIGO UPASUAJI – DKT. KAJUNGU

Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Mkoani kilichopo mkoani Pwani katika Halmashuri ya Kibaha Mji Dkt. Godfrey Kajungu, amesema kuwa wamejizatiti kuongeza wigo wa utoaji wa huduma za upasuaji katika kituo hicho mara baada ya serikali kuwapatia Milioni 500 katika awamu tatu ya mpango wa serikali wa kuimarisha miundombinu ya …

Soma zaidi »

WAZIRI LUKUVI AWAPA KIBARUA WAKUU WA MIKOA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ametoa wito kwa wakuu wa mikoa kuhakikisha  wanawalinda wamiliki wa ardhi ambao wapo kisheria. Waziri Lukuvi alitoa agizo hilo jana Desemba 05, 2019 wakati wa mkutano wa mashauriano kati ya Serikali, wafanyabiashara na wawekezaji  uliofanyika mjini Kibaha na  kuongozwa …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI SIMA – MIFUKO MBADALA ISIYOKIDHI VIWANGO MARUFUKU NCHINI

Serikali imesema kamwe haitaruhusu uzalishaji, uingizaji na matumizi ya mifuko mbadala aina ya Non-Woven isiyokidhi viwango vya 70 Gram Per Square Metre (GSM) kutumika nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mussa Sima katika Mkutano wa Mashauriano baina ya Serikali, Wafanyabiashara na Wawekezaji uliolenga  kusikiliza na kutatua …

Soma zaidi »

WAZIRI WA NISHATI AKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE

Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani, amekagua maendeleo ya kazi ya ujenzi wa Mradi wa Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (MW 2115), wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani na kusema ameridhishwa na kasi yake. Alikagua Mradi huo, Septemba 8 mwaka huu ikiwa ni mara ya nane kwake kuutembelea na kukagua …

Soma zaidi »

TANZANIA NI SALAMA KWA UWEKEZAJI – RC NDIKILO

Mkuu wa mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo ,amesisitiza kwamba, Tanzania hususan mkoani Pwani ni salama kwa uwekezaji na amekemea propaganda na uvumi unaoenezwa na baadhi ya watu wasiolitakia mema Taifa kuwa hakuna uwekezaji unaoendelezwa. Aidha amewaasa ,wawekezaji na wenye viwanda kuhakikisha wanasajili namba za utambulisho ya mlipa kodi (TIN …

Soma zaidi »

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MRADI WA KUFUA UMEME WA MAJI KATIKA MTO RUFIJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Julai, 2019 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme katika mto Rufiji Mkoani Pwani ambao utakamilika Juni 2022 na kuzalisha megawati 2,115. Sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi …

Soma zaidi »