Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ameishauri Mamlaka ya Bandari nchini kuona umuhimu wa kuifufua MV Lyemba ambayo ilikuwa ikitoa huduma ya kubeba mizigo na abiria katika ziwa Tanganyika ambapo kwa sasa hakuna hata meli moja inayotoa huduma ya kubeba abiria katika ziwa hilo linalounganisha mikoa ya Rukwa, …
Soma zaidi »MRADI WA UJENZI WA MIUNDOMBINU BANDARI YA KABWE MKOANI RUKWA WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 85
Ujenzi wa mradi wa miundombinu katika Bandari ya Kabwe mkoani Rukwa ambao unagharimu Sh.bilioni 7.498 tayari umekamilika kwa asilimia 85 na mkandarasi wa ujenzi huo ambaye ni Sumry’s Enterprises Ltd anatarajia kuukabidhi mradi huo Aprili mwaka 2020. Kwa mujibu wa Meneja Msaidizi wa Mradi wa gati ya Bandari ya Kabwe …
Soma zaidi »MKUU WA MKOA WA RUKWA JOACHIM WANGABO AWATOA HOFU MAWAKALA WA MBOLEA
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewatoa hofu mawakala wa mbolea mkoani Rukwa kutokana na kupata changamoto ya kulipishwa kibali cha kuingiza malori katika mji w Sumbawanga huku akiwaelewesha wakulima wa mkoa huo kuwa rangi ya mbolea isiwarudishe nyuma wao kutumia mbolea bali waangalie kilichomo ndani ya mbolea …
Soma zaidi »STENDI YA MABASI SUMBAWANGA KUWA YA MFANO MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh.Joachim Wangabo amewataka wananchi wa Mji wa Sumbawanga pamoja na wakandarasi wa ujenzi wa stendi ya mabasi katika mji wa Sumbawanga kutohujumu miundombinu ya eneo hilo na badala yake wasaidie kuimarisha ulinzi na wakandarasi kujenga kwa uzalendo ili kituo hicho kiweze kuwa nembo ya mkoa …
Soma zaidi »VIONGOZI WA VIJIJI NA HALMASHAURI WATAKIWA KUTENGA FEDHA ZA KUUNGANISHA UMEME
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewaagiza viongozi wa Serikali za Vijiji na Halmashauri kote nchini, kutenga fedha kwa ajili ya kulipia gharama za kuunganisha umeme kwenye Taasisi za Umma na hivyo kuboresha huduma za kijamii katika maeneo yao. Alitoa agizo hilo Agosti 26, 2019, akiwa katika Kijiji cha Mkinga …
Soma zaidi »UPANUZI WA GATI KATIKA BANDARI YA KASANGA WAKAMILIKA
NAIBU WAZIRI NDITIYE AKABIDHI KOMPYUTA SHULE ZA SEKONDARI MPANDA
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye amekabidhi kompyuta 25 kwa shule za sekondari Mpanda mkoani Katavi kwa lengo la kukuza kiwango cha ufaulu na kuongeza matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) shuleni kwa kuwawezesha waalimu kutumia kufundishia na wanafunzi kujifunzia. Amefafanua kuwa lengo ni kupate …
Soma zaidi »