Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Shinyanga, Mhandisi Joseph kumburu amesema kuwa utaratibu mzuri uliowekwa kwenye usimamizi wa uzalishaji na biashara ya madini kwa wachimbaji wasio rasmi mkoani Shinyanga umepelekea Serikali kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 1.56 kama kodi ya mrabaha na ada ya ukaguzi kuanzia mwezi Mei, 2019 hadi …
Soma zaidi »MWADUI WAPEWA MWEZI MMOJA KUUZA ALMASI SOKO LA NDANI
Uongozi wa Mgodi wa Diamond Williamson (Mwadui) unaozalisha madini ya Almasi uliopo mkoani Shinyanga wilayani Kishapu umeagizwa na kupewa muda wa mwezi mmoja hadi kufikia Januari 2020 kuanza kuuza 5% ya Almasi yote inayozalishwa katika mgodi huo kwenye soko la ndani hususani soko la Kishapu huku wazawa wakipewa fursa ya …
Soma zaidi »LIVE CATCH UP:RAIS DKT. MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI AKIWA NJIANI KUELEKEA KAHAMA – SHINYANGA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi mbalimbali waliomsubiri njiani akilekea Mkoani Shinyanga
Soma zaidi »KIKUNDI CHA WAKE WA VIONGOZI CHAKABIDHI MADARASA MANNE NA VYOO KUMI KWA KUTUO CHA WATOTO WENYE MAHITAHJI MAALUM CHA BUHANGIJA
Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa ametoa wito kwa wazazi na walezi watoto wenye mahitaji maalumu kutowaficha na kuwatelekeza na badala yake wawape nafasi ya kupata elimu kwa sababu ni haki yao ya msingi. Mama Majaliwa ambaye pia ni Mlezi wa Umoja wa Wake wa Viongozi (New Mellenium Women …
Soma zaidi »DKT. KALEMANI AELEZA SIRI YA MAFANIKIO YA TANESCO
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ameeleza mambo kadhaa ambayo yamechangia katika mafaniko ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuweza kujiendesha lenyewe pasipo kutegemea ruzuku kutoka serikalini. Akizungumza na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Shinyanga, Juni 29 mwaka huu, muda mfupi kabla ya kutembelea Kijiji cha Mwakitolyo …
Soma zaidi »ALMASI KUBWA YAPATIKANA MKOANI SHINYANGA
Almasi yenye ukubwa wa karati 521 imepatikana katika mgodi wa Mwadui Mkoani Shinyanga tangu mgodi huo uanze uzalishaji miaka 87 iliyopita. Akitoa taarifa hiyo Ofisini kwake mbele ya waandishi wa Habari tarehe 30 Aprili, 2019, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack amesema almasi hiyo itauzwa ndani ya nchi …
Soma zaidi »UJENZI WA MGODI WA MFANO WA UCHIMBAJI MADINI NA MTAMBO WA UCHENJUAJI DHAHABU WAKAMILIKA
ZIARA YA MAKAMU WA RAIS USHETU
MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA CHUO CHA SHYCOM MKOANI SHINYANGA
SERIKALI INASOGEZA HUDUMA BORA ZA AFYA KWA WANANCHI – MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Shinyanga tayari kwa ziara ya kikazi ya siku 5. Makamu wa Rais ambaye amesafiri kwa njia ya barabara akitokea mkoani Tabora ambapo napo alikuwa na ziara yenye lengo la kuhamasisha na kukagua shughuli za kimaendeleo. …
Soma zaidi »