Maktaba Kiungo: MKOA WA TANGA

WATUMISHI FANYENI KAZI KWA UADILIFU, UTIIFU NA WELEDI – SHIGELA

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela amewataka watumishi wa Umma kufanya kazi kwa kuzingatia maadili ya utumishi, Uadilifu, utiifu, weledi, taratibu na sheria za kazi katika kutumiza majukumu yao kila siku. Shigela alisema hayo, Novemba 14, 2019 kwa niaba ya Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Utumishi, Dkt. Laurian Ndumbaro, …

Soma zaidi »

WAZIRI LUKUVI AAGIZA WANANCHI WOTE KULIPWA FIDIA AMBAO BADO HAJALIPWA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ameziagiza Halmashauri za Miji pamoja na watu wenye mashamba makubwa wahakikishe wanawalipa fidia Wananchi wote ambao hawajalipwa kwa muda mrefu tangu kufanyika kwa tathmini kwani wananchi wengi wamekuwa wakiishi ndani ya mashamba yao kwa muda mrefu na wakiamishwa hawalipwi …

Soma zaidi »

SERIKALI KUKARABATI SHULE KONGWE YA GALANOS, MILIONI 696 ZATENGWA

Serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni 696 kwa ajili ya ukarabati wa miundombinu ya shule kongwe ya sekondari Galanos iliyopo mkoani Tanga. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknlolojia William Ole Nasha alipotembelea shule hiyo kukagua maendeleo ya ukarabati wa miundombinu ambapo amesema fedha hizo zimetolewa kupitia …

Soma zaidi »

SERIKALI KUMALIZA TATIZO LA KUKATIKA UMEME, KOROGWE

Serikali imesema changamoto ya kukatika umeme mara kwa mara wanayoipata wananchi wa Korogwe inafanyiwa kazi na  itaisha ndani ya kipindi kisichozidi mwezi mmoja kuanzia sasa, hivyo wawe wenye subirá na waondoe hofu. Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani aliyasema hayo kwa nyakati tofauti jana, Mei 19, 2019 akiwa katika ziara …

Soma zaidi »