Imeelezwa kuwa uwepo wa kinu kipya na cha kisasa chenye uwezo wa kufua hewa ikiwemo hewa safi ya Oxygen na ile ya Naitrojeni kitakuwa msaada kwa wenye tatizo la uzazi nchini. Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya kaskazini (KCMC) imesema kuwa, wananchi watapata msaada huo kwani watakuwa na uwezo wa …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI AWESO AZINDUA MRADI WA MAJI MWIKA KUSINI UTAKAOHUDUMIA WAKAZI ZAIDI YA 19,000
WAZIRI MKUU APOKEA TRENI YA MIZIGO NA KUZINDUA SAFARI ZA TRENI ZA MIZIGO KATIKA RELI YA KASKAZINI
NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI ATEMBELEA ENEO LA MRADI WA MAJI WA SAME-MWANGA NA KOROGWE
MWAKILISHI WA BALOZI WA CHINA AKABIDHI MAJENGO SABA KATIKA CHUO CHA TAALUMA YA POLISI MOSHI
LIVE: FUATILIA UZINDUZI WA CHANELI YA UTALII ‘TANZANIA SAFARI CHANNEL’
• Waziri Mkuu ndiye Mgeni Rasmi • Itakuwa inaonekana TBC1 Fuatilia kwa kubofya link hii https://youtu.be/DzZwjhuPQiM
Soma zaidi »LIVE: UZINDUZI WA KAMPENI YA MRADI WA KUTUNZA NA KUPANDA MITI KUZUNGUKA MSITU MLIMA KILIMANJARO
TANZANIA; KILELE CHA AFRIKA
#SisiNiTanzaniaMpyA+ ambayo ni kilele cha Afrika. Kinara wa ukombozi wa Afrika. Nchi ya Amani na Utulivu duniani. Nchi iliyodhamiria kupata Matokeo chanyA+ 110% katika kila Nyanja ya kujenga na kukuza uchumi imara na madhubuti wenye manufaa kwa wananchi wake wote. #MATAGA
Soma zaidi »