Maktaba Kiungo: MSEMAJI MKUU WA SERIKALI

SERIKALI YAPOKEA GAWIO LA SH. BILIONI MOJA KUTOKA TPB BANK

Hafla ya makabidhiano ya Hundi kifani ya gawio la shilingi Bilioni moja imefanyika jijini Dodoma, kati ya Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) ambaye alipokea kwa niaba ya Serikali, na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki hiyo Dkt. Edmund Mndolwa. Akizungumza katika hafla hiyo Dkt. …

Soma zaidi »

WANANCHI WAIPONGEZA SERIKALI KWA KUWAWEZESHA KUPITIA MKURABITA

Wananchi Wilayani Uyui mkoani Tabora Wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa kuwawezesha kurasimisha mashamba yao na kupatiwa hati za haki milki za kumiliki ardhi hali inayowawezesha kujikwamua kiuchumi. Baadhi ya wananchi hao wakizungumza wakati wa mahojiano maalum Wilayani humo akiwemo mkazi wa  Miyenze …

Soma zaidi »

DKT. ABBASI – SERIKALI INAENDELEA NA MAJADILIANO BANDARI YA BAGAMOYO

Mkurugenzi na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali inaendelea na majadiliano kuhusu kuendelea na ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Mkoani Pwani ili kuona kama inaweza kuwa na tija kiuchumi kwa upande wa Tanzania. Dkt. Abbasi alisema Serikali ina uwezo wa kujenga bandari nyingi na kwa kuwa Tanzania …

Soma zaidi »