Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anahudhuria maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na Wiki ya Vijana Kitaifa katika Uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi
Soma zaidi »VIJANA WA AFRIKA MASHARIKI WATAKIWA KUISHI MAONO YA MWL.JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Vijana wa Nchi Jumuiya za Afrika Mashariki wametakiwa kumuenzi Hayati Baba wa Taifa la Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwa kuishi maono yake na falsafa zake katika kujiletea maendeleo ya kijamii,kisiasa na kiuchumi kwasababu Mwalimu Nyerere aliamini katika ujenzi na ustawi wa Taifa kupitia Vijana na alihamasisha mara zote Vijana …
Soma zaidi »video: JWTZ WAFANIKIWA KUIOPOA MV NYERERE LEO!!
Kazi ya kuitoa ndani ya ziwa yaendelea kwa mafanikio Kwa asilimia kubwa kivuko chote kinaelea juu ya maji katika ziwa Victoria. Pongezi za thati kwa serikali, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo anayesimamia zoezi zima na Jeshi lote kwa kazi nzito yenye mafanikio makubwa. Tunatoa pole sana …
Soma zaidi »MV Nyerere: Mazishi ya baadhi ya waliofariki yafanyika
Katika kipindi hiki serikali italeta kivuko cha muda ili wananchi kutumia kwa mujibu wa taarifa ambayo imetolewa leo na waziri mkuu Kassim Majaliwa wakati akiongoza mazishi. Waziri mkuu amesema ni msiba mkubwa ulioipata nchi. Ibada ya mazishi imeambatana na dua kutoka kwa viongozi wa dini ya Kiislamu na Kikristo.
Soma zaidi »Jumla ya miili 224 imeopolewa hadi sasa mkasa wa MV Nyerere
Serikali itaunda tume ya uchunguzi itakayohusisha timu ya wataalamu na vyombo ya dola, kuhakikisha chanzo cha ajali kinatambulika. Jumla ya miili 224 imeopolewa kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa uchukuzi mhandisi Isack Kamwelwe. Maafisa wote wanaohusika na uendeshaji wa kivuko wamekamatwa na wanahojiwa kwa uchunguzi. Mazishi yataendelea kufanyika …
Soma zaidi »