Maktaba Kiungo: MV NYERERE

LIVE:RAIS MAGUFULI KATIKA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA MWALIMU JK NYERERE MKOANI LINDI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anahudhuria maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na Wiki ya Vijana Kitaifa katika Uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi

Soma zaidi »

VIJANA WA AFRIKA MASHARIKI WATAKIWA KUISHI MAONO YA MWL.JULIUS KAMBARAGE NYERERE

Vijana wa Nchi Jumuiya za Afrika Mashariki wametakiwa kumuenzi Hayati Baba wa Taifa la Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwa kuishi maono yake na falsafa zake katika kujiletea maendeleo ya kijamii,kisiasa na kiuchumi kwasababu Mwalimu Nyerere aliamini katika ujenzi na ustawi wa Taifa kupitia Vijana na alihamasisha mara zote Vijana …

Soma zaidi »

Jumla ya miili 224 imeopolewa hadi sasa mkasa wa MV Nyerere

Serikali itaunda tume ya uchunguzi itakayohusisha timu ya wataalamu na vyombo ya dola, kuhakikisha chanzo cha ajali kinatambulika. Jumla ya miili 224 imeopolewa kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa uchukuzi mhandisi Isack Kamwelwe. Maafisa wote wanaohusika na uendeshaji wa kivuko wamekamatwa na wanahojiwa kwa uchunguzi. Mazishi yataendelea kufanyika …

Soma zaidi »