Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anahudhuria maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na Wiki ya Vijana Kitaifa katika Uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi
Soma zaidi »MABALOZI WATEMBELEA MRADI WA KUFUA UMEME WA JULIUS NYERERE, RUFUJI
JENGO LA 3 LA ABIRIA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA JULIUS NYERERE KUANZA KUTUMIKA MWEZI UJAO
RAIS MAGUFULI PAMOJA NA RAIS WA NAMIBIA WAZINDUA MTAA WA JULIUS K. NYERERE KATIKA JIJI LA WINDHOEK NCHINI NAMIBIA
MAKAMU WA RAIS AWASILI CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KAMPASI YA ZANZIBAR BUBUBU
LIVE; RAIS MAGUFULI NA WAZIRI MKUU WA MISRI WASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA MRADI WA KUFUA UMEME WA STIEGLER’S GORGE
Serikali na Kampuni ya Arab Constructors ya Misri leo zitatia saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa Stiegler’s Gorge, utakaozalisha megawatts 2100. Kwa mujibu wa Rais Magufuli, mradi huo utagharimu zaidi ya TZS 6.5tril. Waziri Mkuu wa Misri atahudhuria hafla hiyo. Fuatilia kwa kubofya link hii; …
Soma zaidi »VIJANA WA AFRIKA MASHARIKI WATAKIWA KUISHI MAONO YA MWL.JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Vijana wa Nchi Jumuiya za Afrika Mashariki wametakiwa kumuenzi Hayati Baba wa Taifa la Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwa kuishi maono yake na falsafa zake katika kujiletea maendeleo ya kijamii,kisiasa na kiuchumi kwasababu Mwalimu Nyerere aliamini katika ujenzi na ustawi wa Taifa kupitia Vijana na alihamasisha mara zote Vijana …
Soma zaidi »TANZANIA; KILELE CHA AFRIKA
#SisiNiTanzaniaMpyA+ ambayo ni kilele cha Afrika. Kinara wa ukombozi wa Afrika. Nchi ya Amani na Utulivu duniani. Nchi iliyodhamiria kupata Matokeo chanyA+ 110% katika kila Nyanja ya kujenga na kukuza uchumi imara na madhubuti wenye manufaa kwa wananchi wake wote. #MATAGA
Soma zaidi »NYERERE DAY: RAIS MAGUFULI NA MKEWE WAMTEMBELEA MAMA MARIA
Katika kuazimisha kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa kilichotokea tarehe 14 Oktoba 1999, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wameshiriki Ibada ya Misa Takatifu maalum ya kumuombea Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika kanisa la St. Peter …
Soma zaidi »