Maktaba Kiungo: NAIBU WAZIRI WA MADINI

WAZIRI BITEKO – UWE MWEKEZAJI WA NJE AU MZAWA HAKI YAKO UTAIPATA

Uwe mzawa, uwe mwekezaji wa nje kwangu haki yako utaipata. Ni kauli ya Waziri wa Madini Doto Biteko wakati akisuluhisha mgogoro baina ya wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu eneo la Ikungi mkoani Singida na mwekezaji wa kampuni ya PolyGold (T) Ltd. Ametoa kauli hiyo Julai 2, 2019 ofisini kwake …

Soma zaidi »

WACHIMABJI WADOGO WA DHAHABU KUPUNGUZA UTUMIAJI WA ZEBAKI KWA 30% IFIKAPO 2024

Tanzania yadhamiria kupunguza matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu kwa asilimia 30% ifikapo 2024. Katika kikao cha kupitisha Mpango Kazi wa Taifa wa kupunguza matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo kilichoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais na kushirikisha sekta husika, leo katika Chuo cha Biashara …

Soma zaidi »