Maktaba Kiungo: NAIBU WAZIRI WA NISHATI

Kalemani: Vituo vya kupooza na kusambaza Umeme vifanyiwe ukaguzi kila siku

Mameneja wote wanaosimamia vituo vya kupoza na kusambaza umeme nchini wametakiwa kufanya ukaguzi ( checkup) wa kila siku asubuhi katika mitambo na mashine zilizopo katika vituo hivyo kuondoa adha ya kukatika umeme kutokana na hitilafu au uharibifu katika vituo hivyo. Licha ya kuwa vituo hivyo vinafanyiwa ukarabati na ukaguzi wa …

Soma zaidi »

WANANCHI WALIOPISHA MRADI WA UMEME WA KV400 WAANZA KULIPWA FIDIA.

Serikali imeanza kulipa fidia kwa wananchi 4000 waliopisha mradi wa kusafirisha umeme wa msongo mkubwa wa kilovolti 400  kutoka Singida hadi Namanga ambapo zoezi la ulipaji fidia litakamilika hivi karibuni. Mradi huo wa kusafirisha umeme wa kV400 kutoka Singida hadi Namanga utaunganisha nchi za Tanzania na Kenya na unafahamika kama …

Soma zaidi »

UTEKELEZAJI WA MRADI WA REA III WILAYANI IGUNGA

  Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu ameliagiza Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kuongeza ukubwa wa transifoma kutoka 100kV hadi kufikia 200kV katika kijiji cha Mwamashimba wilayani Igunga mkoani Tabora kutoka mahitaji makubwa ya umeme. Mgalu alitoa maagizo hayo wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa usambazaji na …

Soma zaidi »