Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu amesema Serikali inatarajia kujenga dampo la kisasa katika Mkoa wa Dar es Salaam ili liweze kuhimili taka zote zinazozalishwa mkoani humo. Zungu amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Kawe Halima …
Soma zaidi »WAZIRI ZUNGU AWASILI MTUMBA NA KUSISITIZA UADILIFU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu amemtaka kila mtumishi katika Ofisi ya Makamu wa Rais atimize wajibu wake katika kuleta maendeleo ya Taifa letu. Hayo ameyasema hii leo mara baada ya kuwasili rasmi katika Ofisi ya Makamu wa Rais katika Mji …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI ZUNGU
OFISI YA MAKAMU WA RAIS KWA KUSHIRIKIANA NA UNIDO WAANDAA WARSHA YA MAFUNZO
Matokeo ya kuharibika kwa Tabaka la Ozoni ni kuruhusu mionzi zaidi ya urujuani (UV-B) kufikia uso wa ardhi hivyo kutishia afya ya viumbe hai katika ikolojia mbalimbali. Tafiti zimethibitisha kuwa kumong’onyoka kwa tabaka la ozoni kumetokana na kurundikana angani kwa kemikali/gesi zinazotumika kwenye mafriji, viyoyozi na mitambo ya kupoozea joto. …
Soma zaidi »NENDENI MKACHAPE KAZI KWA UADILIFU NA KUTANGULIZA MASLAHI YA TANZANIA – RAIS MAGUFULI
Rais Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 27 Januari, 2020 amewaapisha Mawaziri 2 na Mabalozi 3 aliowateua hivi Karibuni. Mawaziri walioapishwa ni George Boniface Mwataguluvala Simbachawene aliyeapishwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mussa Azzan Zungu aliyeapishwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na …
Soma zaidi »MAGUFULI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MAKUBALIANO YA KUENDESHA KWA PAMOJA UCHIMBAJI WA MADINI KATI YA SERIKALI NA KAMPUNI YA BARRICK
LIVE:KIKAO CHA MWENYEKITI WA CCM ,VIONGOZI NA WATENDAJI WA CHAMA NA JUMUIYA ZAKE ZA MIKOA NA WILAYA
WAZIRI SIMBACHAWENE ATOA WIKI MOJA KUREKEBISHWA KWA DOSARI KATIKA MACHINJIO YA MSALATO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene hii amegoma kufungua machinjio ya Msalato jijini Dodoma kwa kutokidhi vigezo vya ubora vinavyoridhisha ikiwemo ukarabati wa kiwango cha chini na kutoa muda wa wiki ya moja kurekebisha dosari zilizobainika. Ametoa uamuzi huo wakati akitembelea jengo …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA HOSPITALI YA MAMA NA MTOTO KIVUNGE UNGUJA
SIMBACHAWENE APONGEZA JUHUDI ZA UTUNZAJI MAZINGIRA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), George Simbachawene amepongeza juhudi za utunzaji wa mazingira zinazofanywa na wadau mbalimbali hapa nchini. Simbachawene ametoa pongezi hizo kwa wadau Katibu Mtendaji wa asasi ya Foundation for ASM Development (FADev) Bibi Theonestina Mwasha na Emmanuel Chisna waliofika ofisini kwake …
Soma zaidi »