RAIS MAGUFULI ATOA WITO KWA WATANZANIA KUANZISHA BUSTANI ZA WANYAMA
Rais Dkt. John Magufuli ametoa wito kwa Watanzania wengi zaidi kujitokeza kufuga wanyamapori kupitia bustani za wanyama (Zoo), ili kuongeza idadi ya wanyama hao na hivyo kupanua fursa za utalii na ajira. Rais Magufuli amewapongeza baadhi ya Watanzania walioanzisha Zoo hizo wakiwemo Lut. Jen Mstaafu Samwel Ndomba (Lugari Mini Zoo …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AZINDUA MAADHIMISHO MIAKA 60 YA TANAPA NA NCAA MKOANI MARA
MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI WILAYANI SERENGETI
OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAPATA TUZO YA UANDAAJI BORA WA HESABU ZA FEDHA KWA MWAKA 2018
TANZANIA YAZITAKA NCHI ZINAZOENDELEA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI
Tanzania imetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua za haraka na za pamoja kushughulikia suala la mabadiliko ya tabianchi na athari zake. Hayo yamesemwa jana na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mussa Sima katika mkutano wa 25 wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja …
Soma zaidi »LIVE: SHEREHE ZA MIAKA 58 YA UHURU WA TANZANIA BARA. CCM – KIRUMBA JIJINI MWANZA
RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA MAWE YA MSINGI MIRADI YA UJENZI WA MELI MPYA YA M.V MWANZA (Hapa Kazi Tu), CHELEZO, PAMOJA NA UKARABATI WA M.V VICTORIA NA M.V BUTIAMA KATIKA ZIWA VICTORIA
Rais Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 08 Desemba, 2019 ameweka jiwe la msingi katika miradi ya ujenzi wa meli mpya ya MV Mwanza Hapa Kazi Tu, Chelezo na ukarabati wa meli za MV Victoria na MV Butiama katika Ziwa Victoria. Sherehe za uwekaji jiwe la msingi katika miradi hiyo zimefanyika …
Soma zaidi »