Maktaba Kiungo: OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU

TAKWIMU RASMI ZATAJWA KUCHOCHEA UFANISI WA MIRADI

Serikali ya Awamu ya Tano imetajwa kufanikiwa katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo kutokana na matumizi bora ya takwimu zinazozalishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS). Akizungumza leo Jijini Dodoma, Mtakwimu mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa amesema kuwa Ofisi hiyo imefanikiwa kuzalisha takwimu zenye ubora wa viwango vinavyokubalika …

Soma zaidi »

MKURUGENZI MKUU WA OFISI YA TAKWIMU AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA

Balozi wa Jamhuri ya Korea, Tae-ick Cho amesema Serikali ya Nchi hiyo itaendelea kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takiwmu (NBS) kwa ajili ya kuimarisha miundombinu yake ikiwemo mifumo ya Tekonojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na kumalizia Ujenzi wa Ofisi za NBS katika Mikoa ya Dodoma na Kigoma. Akizungumza …

Soma zaidi »

TANZANIA KUNUFAIKA NA MRADI WA KUZALISHA TAKWIMU ZINAZOHUSIANA NA JINSIA

Msikilize Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akifafanua kuhusu mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia. [soundcloud url=”https://api.soundcloud.com/tracks/564293745″ params=”color=#ff5500&auto_play=false&hide_related=false&show_comments=true&show_user=true&show_reposts=false&show_teaser=true&visual=true” width=”100%” height=”300″ iframe=”true” /]

Soma zaidi »