Maktaba Kiungo: Radio chanyA+

LIVE CATCH UP: WAZIRI PROF. KABUDI AKIZUNGUMZIA UJUMBE ULIOFIKA NCHINI KUTOKA QATAR NA NORWAY

Aelezea ujio wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Qatar aliyefika nchini siku Jumatano tarehe 20 Machi, 2019 na kuondoka Alhamisi tarehe 21 Machi, 2019. Qatar kushirikiana na Tanzania katika uwekezaji kwenye uchimbaji na uvunaji wa gesi pamoja na uwekezaji katika uwekezaji wa hoteli …

Soma zaidi »

TAARIFA MUHIMU KUTOKA TANESCO

• INAHUSU UFAFANUZI WATAARIFA ZILIZOTOLEWA MTANDAONI KUHUSU: – TATIZO LA KUKATIKA MARA KWA MARA UMEME MKOANI RUVUMA – BODI YA WAKURUGENZI YA TANESCO Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kutoa ufafanuzi Juu ya taarifa iliyotolewa kupitia mitandao ya kijamii kuwa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO imesikitishwa na matumizi madogo ya …

Soma zaidi »

LIVE; RAIS MAGUFULI NA WAZIRI MKUU WA MISRI WASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA MRADI WA KUFUA UMEME WA STIEGLER’S GORGE

Serikali na Kampuni ya Arab Constructors ya Misri leo zitatia saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa Stiegler’s Gorge, utakaozalisha megawatts 2100. Kwa mujibu wa Rais Magufuli, mradi huo utagharimu zaidi ya TZS 6.5tril. Waziri Mkuu wa Misri atahudhuria hafla hiyo. Fuatilia kwa kubofya link hii;   …

Soma zaidi »