Maktaba Kiungo: Rais Live

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA WENYEVITI 3 WA BODI

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wenyeviti 3 watakaoongoza bodi za taasisi 2 za Serikali na 1 ya ubia wa Serikali na Sekta Binafsi. Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Gabriel Pascal Malata kuwa Mwenyekiti na Mjumbe wa kuiwakilisha Serikali katika Bodi ya Kampuni ya Airtel Tanzania Ltd. …

Soma zaidi »

DIPLOMASIA YA TANZANIA YAZIDI KUIMARIKA

Mara kadhaa tumekua tukiona Rais Dkt. John Magufuli akiwaapisha mabalozi wateule ambao wanakwenda kuiwakilisha Tanzania kwenye mataifa mbalimbali ulimwenguni. Katika miaka mitano ya uongozi wake, Rais Magufuli ameteua jumla ya mabalozi 42 na Mabalozi wadogo watatu hivyo kuifanya Tanzania kuwa na jumla ya wawakilishi 45 kati ya mataifa 195 yanayotambuliwa …

Soma zaidi »

LIVE: RAIS MAGUFULI AKIPOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI – IKULU DSM

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anapokea hati za utambulisho wa Ubalozi kutoka katika Mabalozi wateule tisa (9) walioteuliwa na kuziwakilisha Nchi zao hapa Nchini. Wanaowasilisha ni pamoja na -: 1. Mhe. Maria Amelia Mario De Paiva – Balozi mteule wa Ureno nchini mwenye makazi …

Soma zaidi »

NENDENI MKACHAPE KAZI KWA UADILIFU NA KUTANGULIZA MASLAHI YA TANZANIA – RAIS MAGUFULI

Rais  Dkt. John Pombe Magufuli  tarehe 27 Januari, 2020 amewaapisha Mawaziri 2 na Mabalozi 3 aliowateua hivi Karibuni. Mawaziri walioapishwa ni George Boniface Mwataguluvala Simbachawene aliyeapishwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na  Mussa Azzan Zungu aliyeapishwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AKASIRISHWA NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI NA JESHI LA ZIMAMOTO

Rais Dkt. John  Magufuli amesikitishwa na kitendo cha viongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutia saini makubaliano ya zabuni ya kununua vifaa vya zimamoto na uokoaji vyenye thamani ya Euro Milioni 408.5 (sawa na zaidi ya shilingi Trilioni 1) kutoka kampuni …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ALITAKA JESHI LA MAGEREZA KUJITATHIMINI

Rais Dkt. John Magufuli amelitaka Jeshi la Magereza Nchini kutathimini utendaji kazi wake kutokana na mwenendo usioridhisha wa jeshi hilo katika kutekeleza miradi mbalimbali inayopewa na Serikali. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Nyumba za Makazi ya Maafisa na Askari wa Jeshi hilo, leo (Alhamisi Januari 23, 2020) Ukonga Jijini …

Soma zaidi »