Maktaba Kiungo: Samia Suluhu Hassan

RAIS MAGUFULI:NITABADILISHA JIJI LA DAR ES SALAAM.

Rais Dkt John Magufuli, amezindua flyover ya MFUGALE hii leo katika makutano Tazara jijini Dar Es Salaam. Rais Magufuli amesema kuwa flyover hiyo imepewa jina hilo kutokana na kazi nyingi alizofanya Injinia Patrick Mfugale, ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini(TANROADS),kwa uaminifu mkubwa na kwa kutanguliza utanzania badala …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI WA AfDB NA MABALOZI WAWILI LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) nchini Dkt. Alex Mubiru ambaye alifika ofisini kwa Makamu wa Rais kujitambulisha. Makamu wa Rais amesema kuwa AfDB imeahidi kuendelea kushirikiana na …

Soma zaidi »

Taarifa Ya Uteuzi Kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Ikulu Ndogo Musoma – Tarehe 6 Septemba 2018

Uteuzi wa Nafasi ya juu ya uongozi kwenye Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini – TAKUKURU Rais wangu… yupo kazini kujenga Taifa lenye wananchi wanaokataa rushwa kwa VITENDO na kutoka MOYONI Nchi yangu… ipate Matokeo ChanyA+ 110% kimaadili na UZALENDO kwa nchi yetu. #SisiNiTanzaniaMpyA+ Gerson Msigwa: Mkurugenzi wa Mawasiliano …

Soma zaidi »

MATALUMA 1,080 YA RELI MPYA YANAZALISHWA KWA SIKU KIWANDANI SOGA

Katika picha; Mataluma na vifungashio vyake yakiendelea kuzalishwa nchini katika kiwanda kilichopo katika kambi ya ujenzi wa reli ya kisasa-SGR Soga,mkoa wa Pwani, ambapo kiwanda hicho huzalisha mataluma 1080 kwa siku. Kazi ya kutandika mataluma katika tuta la Reli lililojengwa kisasa imeanza tarehe 31 Agosti 2018 na siku chache zijazo …

Soma zaidi »