Zimeshaanza kupakuliwa kutoka kwenye meli Kazi ya kuzipakua itachukua siku 7 zitaanza kufungwa katika malaruma mwezi huu huu Septemba 2018 Ujenzi wa Reli ya mwendo kazi kipande cha Dar – Morogoro kukamilika mapema zaidi ya muda uliokisiwa maana #SisiNiTanzaniaMpyA+.. inayopata Matokeo ChanyA+ 110% katika kila nyanja ya kukuza na kujenga …
Soma zaidi »Meli yenye jumla ya tani 7,250 za Reli kwa ajili ya Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) imeshusha mzigo Bandarini Dar – Tarehe 5 Septemba 2018.
UJENZI WA RELI YA KISASA
Zipo aina 3 za Mataruma-: 1.Mbao, 2.Chuma na 3.Zege lakin Mataruma ya Zege ni imara ndiyo yanayotumika kwenye ujenzi wa Reli za kiwango cha Kimataifa- SGR kote Duniani, Mataruma haya hutengenezwa kwa Nondo na mchanganyiko wa Zege yenye Saruji Kali. Taruma moja Lina uzani wa Kilo 380
Soma zaidi »MATALUMA 1,080 YA RELI MPYA YANAZALISHWA KWA SIKU KIWANDANI SOGA
Katika picha; Mataluma na vifungashio vyake yakiendelea kuzalishwa nchini katika kiwanda kilichopo katika kambi ya ujenzi wa reli ya kisasa-SGR Soga,mkoa wa Pwani, ambapo kiwanda hicho huzalisha mataluma 1080 kwa siku. Kazi ya kutandika mataluma katika tuta la Reli lililojengwa kisasa imeanza tarehe 31 Agosti 2018 na siku chache zijazo …
Soma zaidi »