Maktaba Kiungo: SUA MOROGOGO

NAIBU WAZIRI MGALU AWASHA UMEME DUNDUMWA KILOSA

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewasha umeme katika kitongoji cha Dundumwa, Kijiji cha Ludewa Batini, wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Tukio hilo lilifanyika Agosti 27 mwaka huu, akiwa katika ziara ya kazi mkoani humo kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umeme pamoja na kuzungumza na wananchi. Akiwa amefuatana na …

Soma zaidi »

SERIKALI KUPITIA UPYA MASHAMBA YALIYOFUTWA NA RAIS KILOSA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema wizara yake itapitia upya mashamba yote yaliyofutwa na Raisi katika wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro. Lukuvi amesema hayo  tarehe 16 Mei 2019 katika kata ya Chanzulu tarafa ya Kimamba wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro alipozungumza na wananchi …

Soma zaidi »