Maktaba Kiungo: Taarifa ya Habari

KATIBU MKUU WA MAWASILIANO AKUTANA NA BODI YA UCSAF

Na Prisca Ulomi, WUUM, Dodoma Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainab Chaula amepokea changamoto kutoka kwa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) ya huduma za mawasiliano ya redio ya uhakika kwenye maeneo mbali mbali nchini Dkt. Chaula amepokea changamoto …

Soma zaidi »

PROF. SHEMDOE -TUWEKEZE KWENYE VIWANDA VINAVYOTUMIA MALIGHAFI ZA NDANI

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe amewataka Watanzania kuwekeza katika sekta ya viwanda vinavyotumia malighafi za ndani. Prof. Shemdoe aliyasema hayo Mkoani Simiyu alipokuwa katika ziara ya siku moja kutembelea Viwanda katika Mkoa huo. Katika ziara hiyo Katibu Mkuu na ujumbe wake walipata fursa ya kutembelea …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI PAMOJA NA MARAIS WASTAAFU WAWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI ZA IKULU YA CHAMWINO, DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AKABIDHI NDEGE AINA YA TAUSI KWA MARAIS WASTAAFU KATIKA IKULU YA CHAMWINO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Hati ya Makabidhiano ya zawadi ya Ndege aina ya Tausi 25 kwa Mama Maria Nyerere mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa ajili ya kuwafuga katika Makazi yake, hafla hiyo fupi ilifanyika katika viwanja vya …

Soma zaidi »

PROF. KABUDI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MABALOZI WA UFARANSA, UTURUKI NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Pamalagamba Kabudi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini, Mhe. Frederic Clavier ambapo pamoja na mambo mengine, Balozi Clavier ameipongeza Tanzania kwa hatua ilizochukua kupambana na janga a virusi vya corona nchini.Balozi Clavier pia amemhakikishia Mhe. Waziri …

Soma zaidi »

WAZIRI NDALICHAKO AZITAKA SHULE KUACHA KUAGIZA FEDHA ZA ZIADA KUTOKA KWA WAZAZI

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, amezitaka  Shule kuacha kutumia ugonjwa wa Covid-19 kama kitega uchumi kwa kuagiza fedha za ziada kutoka kwa wazazi; na kuwa Serikali  itachukua hatua kwa shule zinazofanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuzifutia usajili. Waziri Ndalichako ametoa agizo hilo jijini Dodoma alipozungumza na …

Soma zaidi »

UFARANSA YAIPATIA SERIKALI MKOPO NAFUU WA EURO MILIONI 70 KUJENGA MRADI WA MAJI MJINI MOROGORO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James (kushoto) na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) Bi. Stephanie Mouen Essombe, wakibadilishana hati za Mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa  Euro milioni 70 (Sh. za Tanzania bilioni 175.6) kwa ajili ya kugharamia mradi wa Maji …

Soma zaidi »