Maktaba Kiungo: TANESCO

NAIBU WAZIRI MGALU: TANESCO NA REA, MSIACHE KIJIJI HATUTARUDI NYUMA

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijiji (REA) kuhakikisha hawaruki kijiji katika REA Awamu ya Tatu mzunguko wa Pili unaoanza mapema mwezi Januari 2020 kwa kuwa awamu hii ni ya mwisho kuunganisha Vijiji. Mgalu alisema hayo, Desemba 8, 2019 wakati …

Soma zaidi »

KASI YA WAKANDARASI MIRADI YA UMEME VIJIJINI TANGA YAIRIDHISHA BODI

Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REB) imekiri kuridhishwa na kasi ya utendaji kazi wa wakandarasi Derm Electrics (T) Ltd na JV Radi Services Ltd, Njarita Contractors Ltd & Aguila Contractors Ltd; wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini mkoani Tanga. Akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo, Oktoba 23, …

Soma zaidi »

DKT. KALEMANI AELEZA SIRI YA MAFANIKIO YA TANESCO

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ameeleza mambo kadhaa ambayo yamechangia katika mafaniko ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuweza kujiendesha lenyewe pasipo kutegemea ruzuku kutoka serikalini. Akizungumza na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Shinyanga, Juni 29 mwaka huu, muda mfupi kabla ya kutembelea Kijiji cha Mwakitolyo …

Soma zaidi »

TANESCO YATENGA TSHS. BILIONI 400 KUPELEKA UMEME KWENYE MAENEO YALIYOPITIWA NA MIUNDOMBINU

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetenga kiasi cha shilingi bilioni 400 kwa ajili ya kazi ya kusambaza umeme kwenye maeneo takribani 754 yaliyopitiwa na miundombinu ya umeme lakini hayana umeme. Hayo yalisemwa tarehe 24 Juni, 2019 jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu wakati wa Majumuisho ya Semina …

Soma zaidi »

SERIKALI YATENGA FEDHA ZA NDANI KUPELEKA UMEME WA GRIDI KATAVI

Imeelezwa kuwa, Serikali imetenga fedha za ndani, kiasi cha Dola za Marekani milioni 70 kwa ajili ya kazi ya ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa kV 132 kutoka Tabora hadi Katavi ambayo itawezesha Mkoa wa Katavi kuunganishwa na gridi ya Taifa. Hayo yalisemwa na Waziri wa Nishati, …

Soma zaidi »

WAZIRI KALEMANI AKAGUA REA III WILAYANI,BUHIGWE NA KIGOMA VIJIJINI

Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani amefanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Kasulu, Kigoma Vijijini na Buhigwe mkoani Kigoma kwa lengo la kukagua mradi wa usambazaji umeme vijijini wa Awamu ya Tatu (REA III) ambapo pia aliwasha  umeme katika baadhi ya Vijiji. Akiwa wilayani Kasulu, Dkt Kalemani alikagua kazi …

Soma zaidi »

TAARIFA MUHIMU KUTOKA TANESCO

• INAHUSU UFAFANUZI WATAARIFA ZILIZOTOLEWA MTANDAONI KUHUSU: – TATIZO LA KUKATIKA MARA KWA MARA UMEME MKOANI RUVUMA – BODI YA WAKURUGENZI YA TANESCO Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kutoa ufafanuzi Juu ya taarifa iliyotolewa kupitia mitandao ya kijamii kuwa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO imesikitishwa na matumizi madogo ya …

Soma zaidi »