Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa shilingi milioni moja Nyambura Nyamarasa ambaye alikuwa na kero ya kulishiwa na shamba lake na mfugaji mmoja huko Mugumu Serengeti mkoani Mara.
Soma zaidi »Tani Zaidi ya 7,000 Za Reli Zawasili Bandari ya Dar Es Salaam
Zimeshaanza kupakuliwa kutoka kwenye meli Kazi ya kuzipakua itachukua siku 7 zitaanza kufungwa katika malaruma mwezi huu huu Septemba 2018 Ujenzi wa Reli ya mwendo kazi kipande cha Dar – Morogoro kukamilika mapema zaidi ya muda uliokisiwa maana #SisiNiTanzaniaMpyA+.. inayopata Matokeo ChanyA+ 110% katika kila nyanja ya kukuza na kujenga …
Soma zaidi »Taarifa Ya Uteuzi Kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Ikulu Ndogo Musoma – Tarehe 6 Septemba 2018
Uteuzi wa Nafasi ya juu ya uongozi kwenye Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini – TAKUKURU Rais wangu… yupo kazini kujenga Taifa lenye wananchi wanaokataa rushwa kwa VITENDO na kutoka MOYONI Nchi yangu… ipate Matokeo ChanyA+ 110% kimaadili na UZALENDO kwa nchi yetu. #SisiNiTanzaniaMpyA+ Gerson Msigwa: Mkurugenzi wa Mawasiliano …
Soma zaidi »RaisDkt Magufuli akutana na Spika Mstaafu Pius Msekwa.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wenyeji wake spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Pius Msekwa na Mkewe Mama Anna Abdallah Msekwa Ikulu ndogo Nansio Ukerewe Mkoani Mwanza.
Soma zaidi »UZINDUZI WA OFISI ZA KIDIJITALI ZA USAJILI WA MATUKIO YA KIJAMII ZANZIBAR
https://www.facebook.com/Ikuluzanzi/videos/328800437694452/
Soma zaidi »WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA USHIRIKIANO KATI YA CHINA NA AFRIKA JIJINI BEIJING
RAIS MAGUFULI KUSHUDIA UTIAJI SAINI WA MKATABA WA UJENZI WA MELI
Mhe. Rais Dkt John Magufuli leo Septemba 03, 2018 atashuhudia utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa meli mpya na chelezo katika Ziwa Victoria, tukio hili linafanyika Jiji Mwanza. Na litarushwa moja kwa moja na TBC1, Azam Tv, ikulu.go.tz na millarday.com
Soma zaidi »MATALUMA 1,080 YA RELI MPYA YANAZALISHWA KWA SIKU KIWANDANI SOGA
Katika picha; Mataluma na vifungashio vyake yakiendelea kuzalishwa nchini katika kiwanda kilichopo katika kambi ya ujenzi wa reli ya kisasa-SGR Soga,mkoa wa Pwani, ambapo kiwanda hicho huzalisha mataluma 1080 kwa siku. Kazi ya kutandika mataluma katika tuta la Reli lililojengwa kisasa imeanza tarehe 31 Agosti 2018 na siku chache zijazo …
Soma zaidi »LINK YA RADIO CHANYA+
Endeleo kisikiliza Radio ChanyA+ MUDA HUU kwa kutumia simu yako/ laptop/ kopyuta kwa kubofya link hii 👇🏽👇🏽 http://myradiostream.com/mobile/MatokeochanyAtz #SisiNiTanzaniaMpyA+
Soma zaidi »