Maktaba Kiungo: Tanzania

RAIS MAGUFULI:NITABADILISHA JIJI LA DAR ES SALAAM.

Rais Dkt John Magufuli, amezindua flyover ya MFUGALE hii leo katika makutano Tazara jijini Dar Es Salaam. Rais Magufuli amesema kuwa flyover hiyo imepewa jina hilo kutokana na kazi nyingi alizofanya Injinia Patrick Mfugale, ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini(TANROADS),kwa uaminifu mkubwa na kwa kutanguliza utanzania badala …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI WA AfDB NA MABALOZI WAWILI LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) nchini Dkt. Alex Mubiru ambaye alifika ofisini kwa Makamu wa Rais kujitambulisha. Makamu wa Rais amesema kuwa AfDB imeahidi kuendelea kushirikiana na …

Soma zaidi »

LOLIONDO: Ujenzi wa Barabara ya Loliondo – Mto wa Mbu UMESHIKA KASI #TupoVizuri.

Ni barabara inayotoka Ngorongoro, Loliondo itapita Wasso hadi Mugumu mpaka Mto wa Mbu Itakuwa na urefu wa kilomita 218 Inanajengwa kwa kiwango cha lami Itapita katika mikoa minne; Mara, Manyara, Arusha na Mwanza Ujenzi utakuwa wa kasi utakaofanyika kwa awamu mbali mbali ambapo awamu ya kwanza itaanzia kijiji cha Waso …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AWASILI KATIKA KANISA LA PENTEKOSTE MOTOMOTO MKOANI KIGOMA ASUBUHI HII

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan tayari amewasili kwenye kanisa la Pentekoste Motomoto Jimbo la Tanganyika mkoani Kigoma kushuhudia kusimikwa kwa Askofu Mkuu Msaidizi na Maaskofu wa Majimbo.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Soma zaidi »