Sehemu ya jengo la wagonjwa wa nje (OPD)la hospitali ya rufaa ya mkoa wa Simiyu lililofunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Bariadi Mkoa wa Simiyu.Septemba 8,2018.
Soma zaidi »Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasalimiana Mkoani Kigoma tayari kwa ziara ya kikazi ya siku 4.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali Mstaafu Emanuel Maganga mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma tayari kwa ziara ya kikazi ya siku 4. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano …
Soma zaidi »MUONEKANO WA UJENZI WA GATI JIPYA JIJINI DAR
Muonekano wa Ujenzi wa Gati jipya katika Bandari ya jijini Dar es Salaam unavyoendalea “DMGP”.
Soma zaidi »SPIKA NDUGAI AKUTANA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini, Mhe. Ali Davutoglu ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Lengo likiwa ni kuboresha uhusiano kati ya Bunge na Ubalozi huo, pia kujifunza shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Tanzania.
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKIWA KATIKA ZIARA MKOANI MARA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa shilingi milioni moja Nyambura Nyamarasa ambaye alikuwa na kero ya kulishiwa na shamba lake na mfugaji mmoja huko Mugumu Serengeti mkoani Mara.
Soma zaidi »LIVE: Rais Magufuli Akizungumza na Wananchi Barabarani Nyamongo – Tarehe 7 Septemba 2018
Tani Zaidi ya 7,000 Za Reli Zawasili Bandari ya Dar Es Salaam
Zimeshaanza kupakuliwa kutoka kwenye meli Kazi ya kuzipakua itachukua siku 7 zitaanza kufungwa katika malaruma mwezi huu huu Septemba 2018 Ujenzi wa Reli ya mwendo kazi kipande cha Dar – Morogoro kukamilika mapema zaidi ya muda uliokisiwa maana #SisiNiTanzaniaMpyA+.. inayopata Matokeo ChanyA+ 110% katika kila nyanja ya kukuza na kujenga …
Soma zaidi »RaisDkt Magufuli akutana na Spika Mstaafu Pius Msekwa.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wenyeji wake spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Pius Msekwa na Mkewe Mama Anna Abdallah Msekwa Ikulu ndogo Nansio Ukerewe Mkoani Mwanza.
Soma zaidi »UZINDUZI WA OFISI ZA KIDIJITALI ZA USAJILI WA MATUKIO YA KIJAMII ZANZIBAR
https://www.facebook.com/Ikuluzanzi/videos/328800437694452/
Soma zaidi »