Maktaba Kiungo: Uchumi

MRADI WA UJENZI WA MIUNDOMBINU BANDARI YA KABWE MKOANI RUKWA WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 85

Ujenzi wa mradi wa miundombinu katika Bandari ya Kabwe mkoani Rukwa ambao unagharimu Sh.bilioni 7.498 tayari umekamilika kwa asilimia 85 na mkandarasi wa ujenzi huo ambaye ni Sumry’s Enterprises Ltd anatarajia kuukabidhi mradi huo Aprili mwaka 2020. Kwa mujibu wa Meneja Msaidizi wa Mradi wa gati ya Bandari ya Kabwe …

Soma zaidi »

DKT. PHILIP MPANGO: TANZANIA KUTETEA MASLAHI YAKE KATIKA MIKUTANO YA BENKI YA DUNIA NA IMF-WASHINGTON DC

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mikutano ya kipupwe(Spring Meetings)  ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) inayofanyika mjini Washington DC, Marekani. Akizungumza kwenye Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Mjini Washigton DC, Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip …

Soma zaidi »