Maktaba Kiungo: UHURU NA UMOJA

WAZIRI MHAGAMA AKAGUA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA UHURU MWANZA

Maandalizi ya maadhimisho ya miaka 58 ya Uhuru yamefikia hatua za kuridhisha huku Serikali ikieleza kuwa sherehe hiyo itapambwa na onesho maalum la Jeshi la Jadi la sungusungu kutoka Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 58 YA UHURU JIJINI MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara na miaka 57 ya Jamhuri  zinazotarajiwa kufanyika Kitaifa mkoani Mwanza. Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa huo Mhe. John Mongella amesema …

Soma zaidi »