UJENZI WA RELI YA KISASA
Zipo aina 3 za Mataruma-: 1.Mbao, 2.Chuma na 3.Zege lakin Mataruma ya Zege ni imara ndiyo yanayotumika kwenye ujenzi wa Reli za kiwango cha Kimataifa- SGR kote Duniani, Mataruma haya hutengenezwa kwa Nondo na mchanganyiko wa Zege yenye Saruji Kali. Taruma moja Lina uzani wa Kilo 380
Soma zaidi »MATALUMA 1,080 YA RELI MPYA YANAZALISHWA KWA SIKU KIWANDANI SOGA
Katika picha; Mataluma na vifungashio vyake yakiendelea kuzalishwa nchini katika kiwanda kilichopo katika kambi ya ujenzi wa reli ya kisasa-SGR Soga,mkoa wa Pwani, ambapo kiwanda hicho huzalisha mataluma 1080 kwa siku. Kazi ya kutandika mataluma katika tuta la Reli lililojengwa kisasa imeanza tarehe 31 Agosti 2018 na siku chache zijazo …
Soma zaidi »