Maktaba Kiungo: Urithi wetu

MAISHA HALISI YA MSHINDI WA TUZO SINEMA ZETU (SZIFF 2019), MUIGIZAJI BORA WA KIKE; Ni funzo chanyA+

• Anaitwa Flora Kihombo binti mwenye umri wa miaka 10 anayeendelea na elimu ya msingi (Darasa la Sita) •• Ni mtoto wa nne kuzaliwa katika familia duni yenye watoto 7 ambapo kutokana na ugumu wa maisha, wazazi wake iliwalazimu muwandikisha kwenye kituo cha kulea watoto wanaoishi katika mazingira magumu mwaka …

Soma zaidi »

“SERIKALI YETU INATUJALI NA KUTUPENDA SANA” – DIAMOND PLATNUMZ

  Afanya mahojiano na waandishi wa habari jijini Nairobi. Azungumzia tatizo lililotokea katika onesho la Mwanza na kukiri kuwa yeye na wasanii wenzake walikosea na serikali imewasikiliza na kuwasamehe. Aeleza taratibu walizoelekezwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kumaliza kosa walilofanya na namna wanavyolitekeleza. Sasa Wasafi Festival 2018 kuendelea …

Soma zaidi »

BARRICK GOLD CORPORATION YASALIMU AMRI KWA SERIKALI YA TANZANIA

Yakubali kampuni yake ya Acacia ilifanya makosa katika kuendesha shughuli zake nchini. Ni baada ya kubainika kwa wizi wa madini katika makinikia na serikali kuzuia makontena yote bandarini, Mkuu wa Barrick alijitokeza na kuomba suluhu wayamalize. Baada ya siku chache, timu ya viongozi waandamizi na wanasheria wa Barrick, walifika nchini …

Soma zaidi »

LIVE: MAADHIMISHO YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU

Kitaifa yanafanyika Mkoani Tanga. Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibae Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein ndiye mgeni rasmi Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai wamehudhuria pamoja na viongozi wengine waandamizi wa Selikali ya Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania.   Fuatilia moja kwa moja …

Soma zaidi »