Mauzo ya bidhaa nje ya nchi zisizo kuwa za kawaida yameongezeka kwa asilimia 41.9 kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), mwezi Novemba, mwaka jana. Hayo yamesemwa Jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi alipokuwa …
Soma zaidi »WAZIRI KAIRUKI AWAHAKIKISHIA WAWEKEZAJI MAZINGIRA MAZURI YA UWEKEZAJI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji nchini Mhe. Angellah Kairuki amewahakikishia wafanyabiashara na Wawekezaji kuwa Serikali itaendelea kuwawekea mazingira mazuri ya Uwekezaji nchini. Pia, Amesema Serikali imejipanga kuboresha mazingira wezeshi kwa wafanyabiashara na wawekezaji ili kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kwa kuwekeza …
Soma zaidi »WAZIRI KAIRUKI ATEMBELEA KIWANDA CHA KUCHAKATA BETRI CHAKAVU CHA HUATAN
KILA MTANZANIA ANAWEZA KUWEKEZA, TUMIENI FURSA ZILIZOPO – WAZIRI KAIRUKI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji nchini Mhe. Angellah Kairuki amewaasa wananchi kuthubutu uwekezaji katika maeneo yenye tija kwa kuzitumia fursa za uwekezaji zilizopo ili kujikwamua kiuchumi na kujiletea maendeleo yao na nchi kwa ujumla. Ametoa kauli hiyo tarehe 23 Januari, 2020 alipokuwa akizungumza na …
Soma zaidi »JOSHUA NASSARI AONGOZA WAWEKEZAJI TOKA CHINA KUANGALIA FURSA TANZANIA
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arumeru Joshua Nassari leo tarehe 11 Desemba,2019 ameongoza kundi la wafanyabiashara wapatao kumi kufika Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC). Wageni hao wamefika kutoka jimbo la Hebei, China ambao wameonesha nia ya kuwekeza nchini kwenye miradi mbalimbali ya kuanzisha. Viwanda hivyo ni pamoja na kiwanda cha …
Soma zaidi »WAZIRI LUKUVI AWAPA KIBARUA WAKUU WA MIKOA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ametoa wito kwa wakuu wa mikoa kuhakikisha wanawalinda wamiliki wa ardhi ambao wapo kisheria. Waziri Lukuvi alitoa agizo hilo jana Desemba 05, 2019 wakati wa mkutano wa mashauriano kati ya Serikali, wafanyabiashara na wawekezaji uliofanyika mjini Kibaha na kuongozwa …
Soma zaidi »MAZINGIRA SI KIKWAZO KWA WAWEKEZAJI – WAZIRI SIMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima amesema Serikali imefanya mapitio ya Kanuni ya Tathmini ya Athari kwa Mazingira ili kurahisha uwekezaji nchi. Akizungumza na Wafanyabiashara na Wawekezaji katika Mkutano wa Mashauriano baina yao na Serikali katika ukumbi wa Hoteli ya Glonency mkoani Morogoro, Naibu Waziri …
Soma zaidi »TAASISI NNE ZATII AGIZO LA RAIS MAGUFULI LA KUZITAKA KAMPUNI, TAASISI NA MASHIRIKA YA UMMA KUTOA GAWIO NA MICHANGO SERIKALINI NDANI YA SIKU 60
Siku moja baada ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutoa muda wa siku 60 kwa wenyeviti wa bodi na watendaji wa Kampuni, Taasisi na Mashirika ya Umma yanayomilikiwa na Serikali kwa asilimia 100 pamoja na yale ambayo Serikali ina hisa kutoa gawio na michango yao kwenye mfuko Mkuu wa Serikali …
Soma zaidi »TIC YASAJILI MIRADI 1174, SEKTA YA VIWANDA YAONGOZA UWEKEZAJI
Serikali kupitia Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC) katika kipindi cha miaka minne kuanzia Novemba 2015 hadi Novemba 2019, imesajili jumla ya miradi 1174 yenye thamani ya Dola za Marekani Bilioni 15,756.9 huku sekta ya viwanda ikiongoza kwa kutoa asilimia 53 ya miradi yote nchini. Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es …
Soma zaidi »