Maktaba Kiungo: viongozi

MAKAMU WA RAIS AWASILI KATIKA KANISA LA PENTEKOSTE MOTOMOTO MKOANI KIGOMA ASUBUHI HII

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan tayari amewasili kwenye kanisa la Pentekoste Motomoto Jimbo la Tanganyika mkoani Kigoma kushuhudia kusimikwa kwa Askofu Mkuu Msaidizi na Maaskofu wa Majimbo.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Soma zaidi »

MATALUMA 1,080 YA RELI MPYA YANAZALISHWA KWA SIKU KIWANDANI SOGA

Katika picha; Mataluma na vifungashio vyake yakiendelea kuzalishwa nchini katika kiwanda kilichopo katika kambi ya ujenzi wa reli ya kisasa-SGR Soga,mkoa wa Pwani, ambapo kiwanda hicho huzalisha mataluma 1080 kwa siku. Kazi ya kutandika mataluma katika tuta la Reli lililojengwa kisasa imeanza tarehe 31 Agosti 2018 na siku chache zijazo …

Soma zaidi »