Maktaba Kiungo: WAFANYAKAZI TANZANIA

KAMATI YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA IMEIPONGEZA SERIKALI KWA KUWAWEZESHA VIJANA KUPATA UJUZI STAHIKI

Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria imeipongeza Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Uongozi wa Mh Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli kwa kuwawezesha Vijana kupata ujuzi kupitia Programu ya Kukuza Ujuzi inayosimamiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira. Hayo yamesemwa jana na wajumbe wa kamati …

Soma zaidi »

VIJANA WAANZA KUITIKIA WITO WA KUCHAPA KAZI KIZALENDO

Vijana wa kijiji cha Chihwindi kata ya Mtumachi, Newala mkoani Mtwara wamefyeka uwanja  wa kijiji hicho kwaajili ya ujenzi wa kiwanja hicho cha timu ya kijiji maarufu kwa jina la POCHI NENE. Akizungumzia tukio hilo Ndugu Musa Shaibu, amesema kuwa wamefanya hivyo kwa lengo la kuhamasisha vijana kujitolea kufanya kazi …

Soma zaidi »

TFDA NI YA KWANZA BARANI AFRIKA KWA MIFUMO BORA YA UDHIBITI

Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imesema katika kipindi Cha Miaka mitatu imeweza kufanya mambo mbalimbali ya udhibiti wa usalama, ubora na usalama wa bidhaa za ndani na nje ya Nchi ikiwemo kutambulika kimataifa kwa kuzingatia  viwango vya Kimataifa vya ISO 9001: 2015. Hii ni kutokana na mafanikio ya miaka mitatu …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AREJESHA UTARATIBU WA ZAMANI WA MALIPO YA WASTAAFU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Desemba, 2018 ameagiza kurejeshwa kwa utaratibu wa ulipaji wa mafao ya wafanyakazi wanaostaafu uliokuwa ukitumika kabla ya kuunganishwa kwa mifuko ya hifadhi ya jamii, na ametaka utaratibu huo utumike mpaka mwaka 2023 wakati wadau wakijadiliana …

Soma zaidi »