Waziri Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI Selemani Jafo amesema kuwa serikali imekuwa ikifuatilia ukusanyaji wa Mapato katika Halmashauri zote ili kuweza kufanikisha utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Halmashauri zote nchini. Waziri Jafo amesema hayo wakati akitoa taarifa ya makusanyo ya mapato ya Halmashauri zote nchini Mkoani Dodoma. MAKUSANYO …
Soma zaidi »LIVE: Kutoka Iringa
Mkuu wa Mkoa Mhe. Ali Hapi akisikiliza kero, maswali ya wananchi na kutafutia majibu na utatuzi. Bofya link hii kufuatilia moja kwa moja. #MATAGA
Soma zaidi »MKUU WA MKOA WA RUVUMA:Kila mmoja asimamie lishe bora
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Bibi Christina Mndeme amesaini mkataba wa kusimamia suala la LISHE na Wakuu wa Wilaya wenye lengo la kuongeza uwajibikaji katika suala la kukabiliana na tatizo la Utapiamlo ndani ya Mkoa huo. Aidha Mkuu wa Mkoa amewaasa wananchi kila mmoja kushiriki kikamilifu katika kusimamia suala la …
Soma zaidi »Mhe. ANTONY MTAKA Ni nani? Historia yake hii hapa.
“Nimeuliza ripoti ya Wakuu wa Mikoa Tanzania wanaofanya vizuri, wakaniletea ANTHONY MTAKA ndiye Namba Moja, na Namba Mbili ni yeye. Kwa kifupi hana mfano” Mh. Rais Dr. JPM, Simiyu. Je ni nani huyu Mkuu wa Mkoa Mhe. MTAKA.. na ametokea wapi? Mheshimiwa MTAKA anajipambanua katika sifa zifuatazo:- 1. Mkuu wa …
Soma zaidi »DC-Jokate Mwegelo awapiga faini ya milioni 50 wachimbaji wabadhilifu wa Rac Kaolin Kisarawe
MKUU WA WILAYA YA HAI ACHUKUA HATUA SHAMBA LA KIBO AND KIKAU ESTATE KUKWEPA KULIPA KODI YA SERIKALI MILI 700
MKUU wa wilaya ya Hai Mh. Lengai Ole Sabaya ameamuru kukamatwa na kuwekwa rumande kwa saa 48 Mkurugenzi wa Kampuni ya Tudi inayomiliki Shamba la Kibo and Kikafu Estate Bwana Jensen Natal pamoja na Manasheria wa kampuni hiyo Bwana Edward Mroso. mbali na kukamatwa kwa watu hao Mkuu huyo …
Soma zaidi »SERIKALI YA AWAMU YA TANO; Miaka mitatu madarakani
• Imejenga hostel bora na za bei nafuu zinazonufaisha wanafunzi zaidi ya 4,000 katika Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) ” Kabla ya hostel hivi kujengwa, ilikuwa wanafunzi wanapanga vyumba mitaani.. Pia wengine wanapata vyumba ambavyo viko mbali na chuo ambapo pia inawawia vigumu kwenye usafiri ifikapo asubuhi.. ile kuhangaika …
Soma zaidi »MKUU WA WILAYA YA GAIRO APIGA MARUFUKU UCHIMBAJI HOLELA WA MADINI YA RUBY
Madini ya vito aina ya Ruby ni kati ya madini yanayopatikana Wilaya ya Gairo. Madini hayo yameanza kuchimbwa na mzungu (jina linahifadhiwa) tangu mwaka 2010 katika kijiji cha Chogoali, Kata ya Iyogwe Wilayani Gairo. Kwa mujibu wa maelezo ya wananchi na wazee maarufu madini hayo yalichimbwa kuanzia mwaka 2010 na …
Soma zaidi »