Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ametembelea na kukagua hatua ya ujenzi wa jengo la Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi zilizopo eneo la Njedenwa Jijini Dodoma na kusema ameridhishwa na hatua …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA, AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA ABIRIA, KATIKA UWANJA WA NDEGE WA MWANZA
RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BAADHI YA MAWAZIRI, WAKUU WA MIKOA NA WILAYA PAMOJA NA KAIMU MKURUGENZI WA TAKUKURU
MAKAMU WA RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI JIJINI DODOMA
LIVE: WAZIRI MKUU KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA NANENANE
RAIS MAGUFULI NA WAFANYABIASHARA WAJADILI FURSA NA CHANGAMOTO ZA BIASHARA NCHINI
Rais John Pombe Magufuli amekutana na wafanyabiashara nchini leo Ikulu Jijini Dar es salaam ili kujadili changamoto zinazowakabili wafanyabiashara na jinsi ya kuzitatua kwa ajili ya kukuza uchumi kupitia sekta binafsi nchini. Licha ya jitihada zinazoendelea kuleta uboreshaji katika sekta ya biashara, Rais ametaja uwepo wa changamoto mbalimbali kwa pande …
Soma zaidi »BEI YA PAMBA NI SH. 1,200 KWA KILO – WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ana imani kuwa ununuzi wa zao la pamba utaanza mara moja kwa bei ya sh. 1,200 kwa kilo moja katika mikoa yote inayozalisha zao hilo. Amefikia uamuzi huo baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya bei kwa takriban ya wiki nne tangu bei elekezi ilipotangazwa Aprili …
Soma zaidi »