Maktaba Kiungo: WIZARA YA AFYA

WAZIRI UMMY AZINDUA BODI YA TAASISI YA MAENDELEO YA JAMII TENGERU

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameizindua Bodi ya pili ya uendeshaji wa Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru na kuitaka kuleta chachu ya mabadiliko katika Sekta ya Maendeleo ya Jamii nchini. Waziri Ummy ameyasema hayo leo Mkoani Arusha wakati akizungumza na wajumbe wa …

Soma zaidi »

TAASISI YA SARATANI OCEAN ROAD YAZIDI KUIMARISHA HUDUMA ZAKE KWA WANANCHI

Serikali kupitia Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI) imenunua na kusimika mashine mbili za kisasa za huduma ya uchunguzi na tiba za kutibu saratani aina ya LINA na CT Simulator zenye thamani ya Tsh Bilioni 9.5/-  hatua inayolenga kupunguza muda wa kusubiri tiba mionzi kutoka wiki sita hadi kufikia wiki …

Soma zaidi »

KITUO CHA AFYA KOME KUPATIWA X-RAY YA KIDIGITALI

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameahidi kuwapatia mashine ya x-ray ya kisasa ya kidigitali kituo cha afya kome kilichopo halmashauri ya Buchosha wilayani Sengerema. Waziri Ummy ametoa ahadi hiyo akiwa kwenye ziara ya kikazi kisiwani hapo ya kujionea hali ya utoaji huduma za …

Soma zaidi »

MUHIMBILI YAZINDUA ICU MBILI ZA WATOTO WACHANGA, ZAPUNGUZA VIFO KWA WATOTO

Tanzania ni nchi mojawapo duniani iliyofanikiwa kupunguza idadi ya vifo vya watoto walio chini ya miaka mitano kwa theluthi mbili na imesababisha kufikia mpango namba nne wa malengo ya millennia. Mafanikio haya yamekuja baada ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na Tumaini la Maisha (TLM) kujenga ICU mbili …

Soma zaidi »

TUNAZO FEDHA ZA KUKAMILISHA HOSPITALI YA UHURU – RAIS MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewahakikishia wananchi kuwa Serikali inayo fedha za kutosha kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Uhuru. Rais Magufuli amesema hayo leo alipokuwa akizungumza na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa ospitali hiyo inayojengwa wilayani Chamwino, Dodoma. …

Soma zaidi »

MUHIMBILI IMEPIGA HATUA KUBWA UTOAJI WA HUDUMA ZA KISASA KWA GHARAMA NAFUU

Serikali imeendelea kutekeleza ahadi zake kwa wananchi katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya Afya ambayo imepewa kipaumbele ili kuwawezesha wananchi kupata huduma zilizobora kama vile upatikanaji wa dawa, vipimo ambavyo vilikuwa vinapatikana nje ya nchi. Katika miaka Minne ya Serikali ya Awamu ya Tano, Hospitali ya Taifa Muhimbili imepiga hatu …

Soma zaidi »