Maktaba Kiungo: WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

TANZANIA INA ZIADA YA TANI MIL 3.0 YA MAZAO YA CHAKULA – WAZIRI HASUNGA

Kwa mliganisho wa mahitaji na uzalishaji nchi ina ziada ya tani 3,013,515 na imejitosheleza kwa asilimia 123 na 120 mtawalia ambapo uzalishaji katika msimu wa 2016/2017 na 2015/2016 ulikuwa tani 15,900,864 na 16,172,841 mtawalia ambapo mahitaji ya chakula yanayoendana na uzalishaji huo ni tani 13,159,326, na 13,300,034 kwa mwaka wa …

Soma zaidi »