Maktaba Kiungo: WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO AFRIKA MASHARIKI

PROF.KABUDI ASHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA

Tanzania imeshiriki mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Madola ambao umelenga kujadili utekelezaji wa maazimio na vipaumbele vya nchi wanachama wa Jumuiya hiyo ikiwemo masuala ya utawala bora,usalama,biashara pamoja na namna kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi na utunzaji wa mazingira. Akichangia katika majadiliano juu ya …

Soma zaidi »

KATIBU MKUU JUMUIYA YA MADOLA AFANYA MAZUNGUMZO NA PROF. KABUDI LONDON,UINGEREZA

Jumuiya ya Madola imeonesha kuridhishwa na namna Tanzania inavyotekeleza mageuzi ya kiuchumi,uwajibikaji na uawala bora kwa wananchi wake jambo ambalo jumuiya hiyo inalihimiza na kulisimamia kwa Nchi wanachama wake. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bi Patricia Scotland wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo …

Soma zaidi »

TANZANIA KUENDELEA KUNUFAIKA KIUCHUMI NA SADC

Katibu Mkuu Mstaafu Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Mussa Uledi amesema kuwa Tanzania inanufaika kiuchumi  kama mwanachama wa Jumuiya ya Maendeleo  Kusini mwa Afrika (SADC) pamoja na jumuiya nyingine ambazo Tanzania ni mwanachama. Akizungumza wakati akiwasilisha mada leo mjini Morogoro ikiwa ni siku ya pili ya mafunzo  kwa waandishi  wa …

Soma zaidi »

TANZANIA NA BRAZIL ZINA MAENEO MENGI YA KUIMARISHA UHUSIANO NA KUENDELEZA MASLAHI YA PAMOJA

Ziara hiyo  ya siku kumi imebuniwa na sekta binafsi  kwa mashirikiano na ubalozi wa Brazil nchini Tanzania na kuratibiwa kwa pamoja na Wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki na Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Brasilia, imejumuisha washiriki kumi na mbili ( 12) kutoka wizara …

Soma zaidi »

SERIKALI KUFANYA UPEMBUZI YAKINUFU KWA AJILI YA UPANUZI WA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE(JKCI)

Tanzania imetia saini Mkataba wa kupatiwa fedha za Msaada wa Shilingi Bilioni 60 za kitanzania kutoka Serikali ya Watu wa China bila ya masharti yeyote ambapo Serikali ya Tanzania itaamua matumizi yake katika miradi mbalimbali ya maendeleo kwa wananchi wake. Mkataba huo umesainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na …

Soma zaidi »

WIZARA YA MAMBO YA NJE WAMWITA KAIMU BALOZI WA MAREKANI WIZARANI

June 19,2019 Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania ulitoa taarifa katika mitandao ya kijamii “Twitter” kuhusu angalizo la kiusalama “security alert”. Angalizo hilo la kiusalama lilitokana na uvumi unaodaiwa na ubalozi huo kusambaa kuhusu uwezekano wa kutokea kwa shambulio katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam. Wizara ya …

Soma zaidi »

SERIKALI YAWAHAKIKISHIA WAWEKEZAJI MAZINGIRA RAFIKI YA UWEKEZAJI NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji Mhe. Angellah Kairuki amewahakikishia wawekezaji kutoka Marekani uwepo wa mazingira rafiki ya uwekezaji nchini kwa kuzingatia mchango wao katika masuala ya uwekezaji. Ametoa kauli hiyo wakati akifungua kongamano la siku moja la kujadili masuala ya kuboresha mazingira ya biashara …

Soma zaidi »