Rais Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 08 Desemba, 2019 ameweka jiwe la msingi katika miradi ya ujenzi wa meli mpya ya MV Mwanza Hapa Kazi Tu, Chelezo na ukarabati wa meli za MV Victoria na MV Butiama katika Ziwa Victoria. Sherehe za uwekaji jiwe la msingi katika miradi hiyo zimefanyika …
Soma zaidi »NDITIYE ARIDHISHWA NA UPATIKANAJI WA MAWASILIANO KIGOMA
Serikali imefanya ukaguzi wa upatikanaji wa huduma za mawasiliano mkoani Kigoma na kuridhishwa na hali ya mawasiliano mkoani humo kwa kubaini kuwa wananchi wanapata huduma za mawasiliano na wanawasiliana kwa kutumia mitandao ya kampuni za simu iliyopo Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amesema kuwa ameridhishwa na …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA NCHI ZA SADC
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuwa kuwa na mipango, sera, viwango na mifumo ya pamoja ya kisheria itakayorahisha utoaji wa huduma za usafirishaji wa bidhaa na kukuza biashara ndani ya Ukanda huo. Akifungua Mkutano wa Mawaziri wa Jumuiya hiyo wanaosimamia sekta …
Soma zaidi »MKUTANO WA MAWAZIRI WA NCHI WANANCHAMA WA SADC, WA SEKTA YA TEHAMA, HABARI,UCHUKUZI NA HALI YA HEWA
WAZIRI KAMWELWE AKAGUA MELI YA GHOROFA NANE YENYE UWEZO WA KUBEBA MAGARI 1347
SERIKALI KUJENGA VIVUKO VIPYA VIWILI
NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA LUDEWA-MANDA
UJENZI WA BARABARA YA MPANDA-IFUKUTWA-VIKONGE KWA KIWANGO CHA LAMI
BURUNDI YAFURAHIA MRADI WA RELI YA SGR NA BANDARI KAVU KWALA – RUVU
Serikali ya Burundi imeufurahia mradi mkubwa wa reli ya SGR unaoendelea kufanyika nchini pamoja na ujio wa bandari kavu iliyopo eneo la kwala , ambapo nchi jirani ikiwemo Burundi, Rwanda, Uganda, Congo , Malawi , Zambia zitanufaika na usafirishaji wa mizigo . Hayo yamezungumzwa na Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi …
Soma zaidi »VIONGOZI WA MAKAMPUNI MAKUBWA 20 KUTOKA CHINA KUFANYA ZIARA NCHINI
Viongozi wa Makampuni makubwa (20) kutoka Jimbo la Zhejiang Nchini China watafanya ziara nchini tarehe 20-23 Julai 2019 kutafuta fursa za kuwekeza nchini katika sekta za mawasiliano, utalii, uzalishaji, madini, filamu. Ujumbe huo utakutana na wafanyabiashara wa Tanzania kupitia taasisi ya TPSF Katika ziara ya ujumbe wa Makampuni 20 kutoka …
Soma zaidi »