Maktaba Kiungo: Zanzibar

RAIS DR. SHEIN; suala la elimu bure ni utekelezaji wa ilani ya ASP na hivi sasa CCM

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa azma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume kutangaza elimu bure kwa watoto wa Zanzibar bila ubaguzi ilikuwa ni utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama Cha ASP ambayo inaendelea kutekelezwa hadi hivi leo. Dk. Shein …

Soma zaidi »

RAIS WA ZANZIBAR AKIZUNGUMZA KATIKA UZIDUNZI WA OFISI MPYA ZA WAKALA WA MATUKIO YA KIJAMII NA MFUMO WA KIDIGITALI WA USAJILI WA MATUKIO YA KIJAMII

Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amesema kuwa takwimu sahihi ni jambo muhimu kwa serikali katika kupanga maendeleo ya watu wake. Amesema hayo katika uzinduzi wa mfumo mpya wa kidigitali wa usajili wa matukio ya kijamii, huko Dunga Wilaya ya Kati …

Soma zaidi »

WATALII 64 WAWASILI DAR KUPITIA RELI YA TAZARA

Watalii 64 kutoka nchini Ujerumani wamewasili Jijini Dar es Salaam leo kupitia reli ya TAZARA wakitokea nchini Afrika ya Kusini kwa kutumia treni maarufu ya kitalii ijulikanayo kama ROVOS ya nchini humo. Watalii hao wamekuja Tanzania kwa ajili ya kutembelea maeneo mbalimbali yenye vivutio vya utalii hapa nchini ikiwemo mbuga …

Soma zaidi »

MATALUMA 1,080 YA RELI MPYA YANAZALISHWA KWA SIKU KIWANDANI SOGA

Katika picha; Mataluma na vifungashio vyake yakiendelea kuzalishwa nchini katika kiwanda kilichopo katika kambi ya ujenzi wa reli ya kisasa-SGR Soga,mkoa wa Pwani, ambapo kiwanda hicho huzalisha mataluma 1080 kwa siku. Kazi ya kutandika mataluma katika tuta la Reli lililojengwa kisasa imeanza tarehe 31 Agosti 2018 na siku chache zijazo …

Soma zaidi »

WANAOMPINGA RAIS WANYAMAZE – DKT. KASWAHILI

”Watu wawe fair kwake (Rais Magufuli kwa namna anavyochapa kazi) Wampe credit.. Reformation ya nchi masikini kama Tanzania ambayo ina vitu vyote.. then tu, ilikuwa inakaliwa na watu wachache wanatuvuruga tu.. wanagonganisha vichwa wanatuvuruga tu.. kwa sababu tu, hawataki kuwa na dhamira njema; Yeye (Rais Magufuli) anaingia ndani ya miaka …

Soma zaidi »