RAIS MAGUFULI AIPONGEZA MAHAKAMA NA WADAU KWA MAFANIKIO MAKUBWA
Rais Dkt. John Magufuli ameipongeza Mahakama na wadau wake kwa hatua kubwa za kimaendeleo zilizopigwa katika kipindi cha miaka 4 iliyopita na ameahidi kuwa Serikali itaendelea kuhakikisha Mahakama inaboreshwa zaidi. Rais Magufuli ametoa kauli hiyo tarehe 06 Februari, 2020 katika sherehe za kilele cha Wiki ya Elimu na Siku ya …
Soma zaidi »LIVE: RAIS MAGUFULI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA (LAW DAY ) – JNICC DSM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 06 Febuari, 2020 anashiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria inayofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dsm.
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AMTEUA BALOZI WILBERT IBUGE KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Balozi (Kanali) Wilbert Augustine Ibuge kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Uteuzi wa Balozi Ibuge unaanza leo tarehe 06 Februari, 2020. Kabla ya uteuzi huo Balozi Ibuge alikuwa Mkuu …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MTENDAJI SADC, BALOZI WA EU NA BALOZI WA CHINA
Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Februari, 2020 amekutana na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Mhe. Dkt. Stergomena Tax, Balozi wa Umoja wa Ulaya hapa nchini Mhe. Manfred Fanti na Balozi wa China hapa nchini Mhe. Wang Ke, Ikulu Jijini Dar es Salaam. …
Soma zaidi »NENDENI MKATANGULIZE UZALENDO KWANZA – RAIS MAGUFULI
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi walioapishwa kufanya kazi kwa kufuata sheria na kanuni za uongozi pamoja na kuwa na hofu ya Mungu bila kusahau kutanguliza Uzalendo katika kuhakikisha Tanzania inafikia malengo iliyojiwekea. Rais Magufuli Ameyasema hayo leo tarehe 3 Februari 2020 katika hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali …
Soma zaidi »RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI KATIKA HAFLA ILIYOFANYIKA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Febuari, 2020 amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni ikiwemo Makatibu Wakuu, Naibu Katibu Mkuu, Makatibu Tawala wa mikoa, Kamishina Jenerali wa Magereza na Kamishna Jenerali wa zimamoto na uokoaji, Kamishina wa ardhi Wizara ya Ardhi,Nyumba …
Soma zaidi »LIVE: HAFLA YA UAPISHO WA VIONGOZI WATEULE – IKULU DSM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 03 Febuari, 2020 anawaapisha viongozi wateule wafuatao A. MAKATIBU WAKUU 1. Bi. MARY GASPER MAKONDO – kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Kabla ya uteuzi huo Bi. Mary Gasper Makondo alikuwa …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI
Rais Dkt. John Magufuli leo tarehe 31 Januari, 2020 amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wa Wizara, Mahakama, Mikoa na Majeshi. Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi John Kijazi amewataja walioteuliwa kama ifuatavyo; Wizara. Rais Magufuli amemteua Bi. Mary Gasper Makondo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA WENYEVITI 3 WA BODI
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wenyeviti 3 watakaoongoza bodi za taasisi 2 za Serikali na 1 ya ubia wa Serikali na Sekta Binafsi. Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Gabriel Pascal Malata kuwa Mwenyekiti na Mjumbe wa kuiwakilisha Serikali katika Bodi ya Kampuni ya Airtel Tanzania Ltd. …
Soma zaidi »