WAZIRI MKUU MAJALIWA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAKURUGENZI WA KAMPUNI YA KUTENGENEZA MATREKTA YA BTP

8-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya ya Zarubezhnefe, Bw. Sergey Kundryashov kwenye hoteli ya Marriot iliyopo Sochi nchini Urusi, Oktoba 22, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
7-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya ya Zarubezhnefe, Bw. Sergey Kundryashov kwenye hoteli ya Marriot iliyopo Sochi nchini Urusi, Oktoba 22, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
5-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakurugenzi wa kampuni ya kutengeneza matrekta ya BTP, Alexsey Pankov (kuatikati) na Ignat Dydyshko kwenye hoteli ya Marriot ya Sochi nchini Urusi, Oktoba 22, 2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
4-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Wakurugenzi wa kampuni ya kutengeneza matrekta ya BTP, Alexsey Pankov (kushoto) na Ignat Dydyshko baada ya mazungumzo kwenye hoteli ya Marriot ya Sochi nchini Urusi, Oktoba 22, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
3-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Russian Railways, Alexander Misharin kabla ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya Marriot ya Sochi nchini Urusi, Oktoba 22, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
2-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwakilishi wa Kampuni ya Sinara Transport Machinary kwenye hoteli ya Marriot, Sochi nchini Urusi, Oktoba 22, 2019. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
1-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwakilishi wa Kampuni ya Sinara Transport Machinary kwenye hoteli ya Marriot, Sochi nchini Urusi, Oktoba 22, 2019. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI MKUU AKIWA NA WABUNGE MBALIMBALI BUNGENI MJINI DODOMA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.