Bunge Bunge La Tanzania Kassim Majaliwa Mhimili wa Bunge NAI U SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ Waziri Mkuu WIZARA YA KAZI,AJIRA,VIJANA,BUNGE,SERA

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA

1-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa, Mama Salma Kikwete, bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
2-01
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (kulia) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Profesa Adelardus Kilangi, bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
3-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
4-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
6-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu0
7-01
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza na mbunge wa Viti Maalum Jackline Ngonyani Mshongozi (kushoto), bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
8-01
Waziri wa Mambo ya ndani George Simbachawene akizungumza na Mbunge wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi, bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
9-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, bungeni jijini Dodoma Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
8-01
Naibu waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Stella Ikupa akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt, Mary Mwanjelwa, bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
7-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Nibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kushoto) na Mbunge wa Babati Mjini, Paulina Gekul kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
6-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mbunge wa Rufiji, Mohamed Mchengerwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
5-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Urambo Margaret Sita (kushoto) na Mbunge wa Viti Malaam, Mwanne Mchemba kwenye vivanja vya bunge jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
4-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Dar es salaam Independent School ya Mikocheni ambao walifika bungeni jijini Dodoma kwa ziara ya mafunzo, Februari, 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Misingi ya Dar es salaam Independent School ya Mikocheni ambao walifika bungeni jijini Dodoma kwa ziara ya mafunzo, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Matokeo ChanyA+
Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.
http://matokeochanya.co.tz

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.