Tanzania imetajwa kuwa kati ya nchi tano ndani ya jumuiya ya maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SADC ambazo zinatoa kipaumbele kwa masuala yanayohusu vijana. Hayo yameelezwa katika mkutano wa vijana toka nchi za SADC uliofanyika mjini Windhoek, Namibia kati ya tarehe 13 na 15 Disemba 2018 ambapo mkutano …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2018
Serikali inaheshimu haki ya kila mtu – Naibu Waziri Masauni
Serikali imewaasa wananchi kutoa taarifa za kuwepo wahamiaji wanaoishi maeneo mbalimbali nchini kinyume na sheria za nchi ili raia wema waweze kufanya shughuli za maendeleo kwa amani na salama huku ikiwaasa watumishi wa Idara ya Uhamiaji kuwa waadilifu katika maeneo yao ya kazi. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam …
Soma zaidi »LIVE: WAZIRI LUKUVI NA MKUU WA MKOA WAKITATUA MIGOGORO YA ARIDHI
BARABARA YA MORO – DOM KUFANYIWA USANIFU ILI KUJENGWA UPYA
Naibu Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa amesema , Serikali inatarajia kufanya usanifu wa barabara ya Morogoro- Dodoma yenye urefu wa kilometa zipatazo 259 katika mwaka wa fedha wa 2018/2019 kwa ajili ya kupata michoro na gharama halisi ili kujengwa upya kwa viwango cha ubora na mahitaji …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AUNGANA WAUMINI WA DINI NYA KIISLAMU KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA BAKWATA
LIVE: RAIS MAGUFULI KATIKA KILELE CHA MIAKA 50 YA BAKWATA
LIVE: WAZIRI WA ARDHI MHE. LUKUVI AKITATUA MIGOGORO YA ARDHI GONGO LA MBOTO
LATE LIVE: ATCL WAKIZUNGUMZA NA WAANDISHI KUHUSU SUALA LA MSANII DIAMOND
UJENZI WA MAHAKAMA KUU KANDA YA MUSOMA WAENDELEA KWA KASI
Wakazi wa mkoa wa Mara wanatarajia kuondokana na adha ya kufuata huduma za Mahakama Kuu mkoani Mwanza, umbali wa zaidi ya kilometa 200 kutoka mjini Musoma, baada ya ujenzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Musoma kukaribia kukamilika mapema mwakani. Wakizungumza na timu ya Maafisa kutoka Wizara ya Maji, Wizara ya …
Soma zaidi »Sote ni mashahidi wa namna lugha ya Kiswahili imeendelea kukua kwa kasi – Makamu wa Rais
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Jamii kubadili fikra kwa kuchunguza na kufikiria jinsi ya kutumia vipengele mbalimbali vya lugha ya Kiswahili na Utamaduni wake kama bidhaa ya biashara. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Nne la Kimataifa la Kiswahili lililoandaliwa na Chama …
Soma zaidi »