Makamu wa Rais

UTIAJI SAINI HOJA ZA MAKUBALIONO MUUNGANO

Kikao cha Utiaji saini Hati za makubaliano ya kuondoa Hoja za Muungano zilizopatiwa ufumbuzi, ambapo Hoja 5 zimeondolewa ikiwemo ushirikishwaji wa SMZ kwenye masuala ya Kimataifa na Kikanda na Biashara, Hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kikao cha Utiaji saini …

Soma zaidi »

UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA KUZALISHA AJIRA 10,000

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni alipowasili kutia saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AKAGUA MAGARI YALIYOTAIFISHWA NA AAGIZA YAGAWANYWE SERIKALINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 25 Agosti, 2020 amekagua magari yaliyotaifishwa baada ya kuhusika katika matukio ya uhujumu uchumi, na kisha kuhifadhiwa katika kituo cha mabasi cha zamani Jijini Dodoma. Sehemu ya magari makubwa na madogo 130 yaliyotaifishwabaada ya kuhusika katika …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ABADILISHA AHADI KUWA VITENDO NDANI YA MIAKA MITANO YA UONGOZI WAKE

Na,ZYNABU ABDULMASOUDI, DODOMA. Kuna usemi wa Kiswahili unaosema ahadi ni deni,ukimaanisha kuwa unapoweka ahadi huna budi kuitimiza. Ahadi iliyowekwa na Rais Dk.John Magufuli wakati wa kampeni zake za kugombea Urais miaka mitano iliyopita ikiwemo ya kutoa elimu bila ya malipo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza hadi kidato cha nne …

Soma zaidi »