WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

SERIKALI YAZIAGIZA TAASISI ZA FEDHA KUWAWEZESHA WAFANYABIASHARA VIJIJINI

Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imezungumza na taasisi za fedha na zile zinazosaidia kuwezesha wananchi kiuchumi ili kuwawezesha wafanyabiashara wa vijijini. Hatua hiyo itatatua changamoto ya upatikanaji wa kiwango kidogo cha fedha katika maeneo hayo hivyo kuwawezesha wafanyabishara wanaowekeza vijijini kuendelea. Hayo yamesemwa leo jijini Dodoma na Waziri Mkuu, …

Soma zaidi »

SERIKALI YA AHIDI KUSIMAMIA KIKAMILIFU MKOPO NAFUU WA SHILINGI TRILIONI 1.3 ULIOTOLEWA NA IMF KUKABILIANA NA ATHARI ZA UVIKO -19

Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Ncgemba, amewahakikishia Wanzania kuwa Mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani milioni 567.3 sawa na shilingi trilioni 1.3 uliotolewa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa ajili ya kukabiliana na athari za Uviko-19 zitasimamiwa kikamilifu ili kuleta tija iliyokusudiwa. …

Soma zaidi »

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KAULI YA SERIKALI KWA WENYE MADUKA YA KUBADILISHA FEDHA ZA KIGENI

Kuna habari zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii na kuandikwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari zikieleza kuwa Serikali imewataka wafanyabiashara wote wa maduka ya kubadilishia fedha za kigeni walionyang’anywa vifaa vyao na kikosi kazi kilichotumiwa na Serikali wakati wa kuifunga biashara hiyo waende kuchukua vifaa vyao. Habari hiyo imepotosha kauli …

Soma zaidi »