WIZARA YA UJENZI,UCHUKUZI NA MAWASILIANO

SERIKALI KUIIMARISHA TRC KWA KUNUNUA MABEHEWA MENGINE 800 YA MIZIGO, 37 YA ABIRIA NA VICHWA 39 VYA TRENI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wa Arusha na Kilimanjaro akikata utepe kuashiria uzinduzi wa huduma ya usafiri wa Treni ya Abiria ya Shirika la Reli TRC kutoka Dar es Salaam hadi Arusha katika hafla fupi iliyofanyika katika Stesheni …

Soma zaidi »

VIWANJA VYA NDEGE VYA SHINYANGA, KIGOMA, TABORA NA SUMBAWANGA KUJENGWA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA

Na. Ramadhani Kissimba na Peter Haule, Dar es Salaam Serikali imezindua mradi wa ujenzi, ukarabati na upanuzi wa viwanja vinne vya ndege vya Shinyanga, Tabora, Sumbawanga na Kigoma ili viwe na kiwango cha kimataifa, utakaogharimu shilingi bilioni 136.85. Akizindua ujenzi wa mradi huo jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa …

Soma zaidi »

SERIKALI KUWATAMBUA NA KUWATUMIA WATAALAMU WA TEHAMA KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Isack Kamwelwe (Kushoto), akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano la Nne la Mwaka la TEHAMA , Oktoba 7, 2020 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeanzisha programu maalum ya kuwatambua, kuwasajili …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KIVUKO CHA MAFIA, KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua maendeleo yaujenzi wa Kivuko cha Mafia, kitakachotoa huduma kati ya Nyamisati,wilayani Kibiti na Kisiwa cha Mafia, kwenye karakana ya SongoroMarine, iliyopo Kigamboni, jijini Dar es salaam, Oktoba 5, 2020. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi wa Ufundi, Kampuni ya Songoro Marine, Khalid Songoro, wakati alipokagua …

Soma zaidi »