Bunge Bunge La Tanzania Mhimili wa Bunge Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ Waziri Mkuu WIZARA YA KAZI,AJIRA,VIJANA,BUNGE,SERA

TUDUMISHE UTULIVU, AMANI, MSHIKAMANO PAMOJA NA USTAARABU WETU WA KITANZANIA – WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

Viangozi wa Vyama vya Siasa watakiwa kuonyesha mfano wa kuendesha siasa za kistaarabu zenye lengo la kuwaunganisha Watanzania na sio kuwatenganisha kwani hakuna kiongozi aliyepata sifa nzuri kwa kuwa chazo cha mifarakano katika nchi. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hayo Bungeni mjini Dodoma wakati akiwasilisha hotuba kuhusu Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali na […]

Bunge Bunge La Tanzania IDARA YA HABARI MAELEZO Michezo Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WAZIRI WA HABARI, SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO

WAZIRI MWAKYEMBE AWATAKA WATANZANIA KUJITOKEZA KUWEKEZA KATIKA SEKTA YA MICHEZO

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe ametoa wito kwa watanzania wanaoishi nje ya nchi kujitokeza kuchangia ujenzi wa viwanja vya michezo ambavyo vitasaidia katika kuibua vipaji vya michezo kwa vijana. Mheshimiwa Mwakyembe ametoa kauli hiyo leo bungeni Jijini Dodoma alipokuwa kijibu swali la nyongeza kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalum Mheshimiwa […]

Bunge Bunge La Tanzania Michezo Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WAZIRI WA HABARI, SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO WIZARA YA KAZI,AJIRA,VIJANA,BUNGE,SERA

NAIBU WAZIRI SHONZA: WAZAZI NDIYO WALEZI WA KWANZA WA MTOTO

Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Juliana Shonza amewataka wazazi na familia kuwa walezi wa kwanza kwenye jukumu la kumlea mtoto. Mheshimiwa Shonza ametoa kauli hiyo leo Bungeni jijini Dodoma alipokuwa akijibu swali la¬† Mbunge wa Viti Maalum Mhe.Mgeni Jadi Kadika (CUF) lilikokuwa likisema serikali haioni sasa ni wakati muafaka kwa vijana wetu […]

Bunge Bunge La Tanzania Madini Mhimili wa Bunge NAI U SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NAIBU WAZIRI WA MADINI Tanzania MpyA+ WIZARA YA KAZI,AJIRA,VIJANA,BUNGE,SERA WIZARA YA MADINI

BUNGE KUHARAKISHA UANZISHWAJI SHERIA BODI YA WANAJIOSAYANSI NCHINI

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limesema litaharakisha Mchakato wa Uanzishwaji Sheria ya Bodi ya Usajili wa Wanajiosayansi nchini ikiwemo kuishauri Serikali na kueleza kuwa, ni fursa nzuri ya kusimamia rasilimali madini na itapunguza hasara kwa wadau. Kauli hiyo iliyotolewa Januari 23, jijini Dodoma na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya […]

Bunge Bunge La Tanzania Mhimili wa Bunge NAI U SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA KAZI,AJIRA,VIJANA,BUNGE,SERA

STAMICO HII HAIWEZI KUFUTWA – KAMATI YA BUNGE

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mashirika ya Umma imesema Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) haliwezi kufutwa tena kutokana na mwenendo wa sasa kuridhisha kutokana na utendaji wake na kubadili mtazamo wa awali. Kubadili kwa mtazamo huo kunatokana na mwenendo wa awali kutoridhisha katika utendaji wake hali iliyopelekea baadhi ya wabunge kutaka Shirika hilo […]