WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

WAZIRI DKT.NDUMBARO AZITAKA NCHI ZA AFRIKA KUWA NA KAULI MOJA KUHUSIANA NA BIASHARA YA UWINDAJI WA KITALII

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro amezitaka nchi za Afrika kuwa na kauli moja kuhusu taratibu na bei  za wanyamapori  katika biashara uwindaji wa kiutalii Ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza kwa nyakati tofauti katika vikao  ana  kwa ana na baadhi ya  mawaziri wa Utalii wa nchi za Afrika katika …

Soma zaidi »

DKT. DAMAS NDUMBARO NA NAIBU WAKE MARY MASANJA WATEMBELEA SHAMBA LA MITI BIHARAMULO

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Dkt.Damas Ndumbaro akitoa ufafanuzi na maelekezo kwa viongozi wa Taasisi za Uhifadhi kuhusu masuala mbalimbali ya kuendeleza na kuimarisha uhifadhi hapa nchini mara baada ya kutembelea shamba la Miti Biharamulo -Chato mkoani Geita.  Kamishna Mhifadhi Misitu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Prof. …

Soma zaidi »

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, DKT.NDUMBARO AWATAKA WAKAZI WA MKOA WA LINDI KUCHANGAMKIA FURSA ZA UTALII

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amewataka Wakazi wa Mkoa wa Lindi kuchangamkia fursa za utalii zilizopo katika mkoa huo. Ameyasema hayo wakati alipotembelela Hifadhi ya urithi wa utamaduni  wa Dunia Magofu ya Kilwa Kisiwani na Songomnara ikiwa ni ziara yake ya kwanza tangu alipoteuliwa na  Rais wa …

Soma zaidi »

ALLAN KIJAZI AKABIDHI MAGARI 9 YA MRADI WA KUSIMAMIA MALIASILI NA KUKUZA UTALII KUSINI MWA TANZANIA

Kamishna wa Uhifadhi TANAPA na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Allan Kijazi jijini Dodoma amekabidhi magari 9 ya Mradi wa Kusimamia Maliasili na Kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania unaofadhiliwa na Benki ya Dunia kwa Hifadhi za Mikumi, Ruaha na Udzungwa. Dkt.Kijazi amesema kuwa magari haya yatatumika …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI KANYASU AIAGIZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUTOA KITALU CHA UWINDAJI WA KITALII KWA CHUO

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu ameamuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii kutoa  kitalu cha Uwindaji wa Kitalii kwa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori, Mweka  ili kitumike kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo kwa wanafunzi wanaosomea masomo ya Uwindaji Bingwa        (Professional Hunters) Ametoa agizo hilo …

Soma zaidi »