TAMISEMI

SERIKALI YATOA AJIRA ZA WALIMU 6,949

Na Adili Mhina. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu ametangaza nafasi za ajira za walimu 6,949 wa Shule za Msingi na Sekondari zinazolenga kujaza nafasi wazi za watumishi waliokoma utumishi wao kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo vifo, kuacha kazi, kufukuzwa …

Soma zaidi »

WAZIRI JAFO AZIAGIZA HALMASHAURI ZOTE NCHINI KUTENGA MAENEO YA MICHEZO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametoa agizo kwa Halmashauri zote  nchini kutenga maeneo kwa ajili ya shughuli za michezo, huku akiagiza Wakurugenzi katika halmashauri hizo kusimamia vyema miundombinu ya michezo na kuhakikisha maeneo ya michezo hayavamiwi. Jafo ameyasema hayo Februari 08, 2021 jijini Dodoma katika kikao …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI SILINDE ATEMBELEA SHULE ZA TUMAINI NA MILADE SINGIDA

Naibu waziri wa TAMISEMI David Silinde amefanya ziara ya kushtukiza katika shule za Tumaini sekondari iliyopo wilaya ya Iramba na shule ya msingi Milade iliyopo wilaya ya mkalama mkoani Singida kufatilia maagizo yake aliyoyatoa mwezi December 2020. Naibu waziri Silinde ameridhishwa na ujenzi wa madarasa,mabweni na bwalo katika shule ya …

Soma zaidi »

WAITARA ATETA NA WAFANYABIASHARA CHUMA CHAKAVU, ARIDHISHWA KIWANDA CHA KUREJELEZA CHUPA ZA PLASTIKI

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mwita Waitara akiwa katika picha ya pamoja na wafanyabiashara wa chuma chakavu wa jijini Mwanza aliofanya kikao nao kwa lengo la kusikiliza changamoto zao na kutoa elimu ya utaratibu wa vibali. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mwita Waitara amewataka …

Soma zaidi »